Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,259
- 70,630
Kumekuwa na tabia ya wazazi au walezi kutoa kauli za kibaguzi mfano mtoto ni huyu yaan hawa wengine hakuna kitu ,hawatakuja kukusaidia kitu .hivi jamani anaekuja kukusaidia huko mbele unamjua?kisabengo cha nini?kwani mlizaa ili msaidiwe ?acheni kubagua watoto,au wajukuu zenu
Tushaona wengi tu wanaowadhania kuwa watawasaidia na ikawa tofauti kabisa ,,yaan unakuta mtu anatoa maneno kama kakatwa kichwa hafikiriii kabisa unaemdharau siku moja ndio atakusaidia ,hao wanaotegemewa hata huwa hawana habari kabisa
Wazazi na walezi acheni kutoa maneno ya kibaguzi kwa watoto mnaowalea inaumiza sana na kujenga chuki