Marriage is a complex institution

Mahondaw

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
67,020
168,016
Ni weekend nyingine inshallah.
Wana MMU nadhani Kila mmoja wetu anafahamu mahusiano ninini whether just friendship courtship or marriage. When you are in any kind of relationship there may be some problems, crushes, failures disappointments etc. And if so you may decide to seek for some advice na majibu yao nikama yafuatayo :

We spoke about two principles
1. Forgiveness so you don't continue to hurt yourself (forgive and forget
2. Respect your man more than how you respect your boss
**********************

Engineer nae akajibu kuliko maisha ya ndoa ni bora ukeshe ukichomelea tu kwani havina tofauti saaaaaana
isipokua, welding huanza kwa cheche na kuunganisha vyuma milele na wedding/ marriage huanza kwa kuunganisha kwanza alafu cheche baadae
*************************

Wewe cha kufanya kwa sasa na haraka iwezekanavyo tafuta mtu mwingine wa kukuburudisha atakaekuondoa mawazo yako ( sex)
*******************
Katika wote nani mwenye ushauri wa busara zaidi?? Nini maoni yako juu ya mambo waliyoshauri hapo juu??


As for me marriage is a complex institution ukiingia ujue kabisaa Maisha ya huko ni mtihani na msimamizi ni Mungu mwenyewe, Maana hakuna hata binadamu aikuaye kesho yake.
 

Attachments

  • TMPDOODLE1486182264694.jpg
    TMPDOODLE1486182264694.jpg
    82.7 KB · Views: 54
  • TMPDOODLE1486182325108.jpg
    TMPDOODLE1486182325108.jpg
    83.1 KB · Views: 55
  • TMPDOODLE1486182401527.jpg
    TMPDOODLE1486182401527.jpg
    94.5 KB · Views: 43
  • IMG-20170201-WA0005.jpg
    IMG-20170201-WA0005.jpg
    18.3 KB · Views: 52
hahahaaa.....!!!mtizamo ni sahihi kabisaa..

ndoa ndo mtihani pekee unaopewa cheti kabla ya kufaulu..!!
 
Back
Top Bottom