Hii inawezakana kweli?

Bailly5

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
16,402
35,083
Habari wana JF

Naomba tujadili hili swala wadau.
Hivi inawezekana kumpenda mtu halafu usimuamini kabisa?

Upo kwenye mahusiano na binti/mwanaume yoyote. Anadai anakupenda ila hakuamini. Hayo yote anayasema wazi kabisa bila kuficha chochote. Tena anakwambia ile uso kwa USO

Hii imekaaje wadau?

Nawasilisha
 
Atakuwa ni wale wanaoamini wanaume/wanawake wote mama yao mmoja.
 
HUWEZI KUMPENDA MTU BILA KUMUAMINI HAKUNA KITU KM HICHO ILI MOYO HUTULIE LAZIMA KWANZA UMUAMINI ULIYE NAE
HUO NDO UWONGO NAMBA 1 KATIKA MAPENZI WATU HUONGOPEANA WAZI WAZI
je inawezekana UMUAMINI MTU arafu usimpende ni ngumu sana 7bu huwezi kumwachia mwanao HOUSEGIRL kutwa nzima wewe ukiwa job
bila kumuamini na kumpenda huyo HG hilo jambo lisingewezekana yaan hayo mambo mawili lazima yawepo
 
hahahahhaha hii ni kali, inawezekana kabsa tena sana tu, kuaminiana sasa hivi hamna kabisa. usimwamini mpenzi wako ipo siku atakupa sumu ndo ujute.
 
HUWEZI KUMPENDA MTU BILA KUMUAMINI HAKUNA KITU KM HICHO ILI MOYO HUTULIE LAZIMA KWANZA UMUAMINI ULIYE NAE
HUO NDO UWONGO NAMBA 1 KATIKA MAPENZI WATU HUONGOPEANA WAZI WAZI
je inawezekana UMUAMINI MTU arafu usimpende ni ngumu sana 7bu huwezi kumwachia mwanao HOUSEGIRL kutwa nzima wewe ukiwa job
bila kumuamini na kumpenda huyo HG hilo jambo lisingewezekana yaan hayo mambo mawili lazima yawepo
Hujawahi kusikia mtu kaumizwa na dem af dem anagawa mno lkn jamaa bado anampenda
Xo inamaana anamwamini????
 
Hujawahi kusikia mtu kaumizwa na dem af dem anagawa mno lkn jamaa bado anampenda
Xo inamaana anamwamini????
hapo anaiongopea nafsi yake kuwa anampenda lkn kiuhalisia upendo hana moyoni imebaki mazoea tu sasa inamuwia vigumu kumuacha
unapomuamini mtu 100% na upendo huwa kiwango hicho chunguza watu wote ulopata kuwaamini kwa kiasi kikubwa ikatokea kuvunja uaminifu japo kwa asilimia moja tu basi ule upendo ushuka kwa kasi sana
 
Hayo ni mawazo yako usilazimishe niwe naye namimi... Nampenda sana lakini simuamini hata kidogo!
ni selikari yako ya kichwa ndo ipo hvyo unavyoamini ni sawa
na unapozungumzia jambo kama hili ambalo lipo ktk jamii si kama wote wapo hvyo ila kiuhalisia 90% huwa ipo hvyo so inawzekana wewe upo nje ya hao hvyo HII ni RAI yngu tu haijathibitishwa KISAYANSI km ndo sheria
Ila ukweli upo HIVYO .
 
Ndio maana kuna kitendo cha kuamini na kingine cha kupenda. Kwa kifupi inawezekana kabisa kumuamini mtu usiyempenda na kumpenda mtu usiyemuamini. Mfano wa kumuamini usiyempenda angalia historia ya mtume Muhammad (s.a.w), ukisoma utaona kuwa watu wa Makka waliokuwa wakimpinga na kumchukia ndiyo hao hao waliokuwa wanamuamini kuwawekea amana za mali zao. Kuhusu kupenda bila kuamini hata mimi kuna watu wengi tu nawapenda lakini siwaamini kabisa. Kwa mfano nina mdogo wangu ana utapeli tapeli hivi na ninampenda sana tu lakini kamwe huwa simuamini.
 
ni selikari yako ya kichwa ndo ipo hvyo unavyoamini ni sawa
na unapozungumzia jambo kama hili ambalo lipo ktk jamii si kama wote wapo hvyo ila kiuhalisia 90% huwa ipo hvyo so inawzekana wewe upo nje ya hao hvyo HII ni RAI yngu tu haijathibitishwa KISAYANSI km ndo sheria
Ila ukweli upo HIVYO .
Acha kukariri mkuu.
 
Anty eeh... naomba nirudie tena, Ni hivii Hayo ni mawazo yako usilazimishe niwe naye namimi... Nampenda sana lakini simuamini hata kidogo!
 
Back
Top Bottom