kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,784
- 20,155
Mimi ni mama wa watoto watatu, nimefunga ndoa mwaka wa 11 sasa. Siku zote tumeishi vizuri na mume wangu, makwaruzano ndani ya ndoa hayakosekani ila siku hizi mume wangu amebadilika sana kiasi cha kunifanya nipate mawazo mabaya juu yake.
Hakuwa na kawaida ya kujipulizia pafyume ila ghafla ameanza kijipulizia hadi sehemu za siri, inaniogopesha sana. Anatumia muda mwingi kwenye kioo! AAnavaa macheni na mapete makubwa makubwa! Nimejaribu kumuuliza sababu ya kufanya hivyo kawa mkali kama pilipili.
Dada yangu inawezekana akawa amejitumbukiza kwenye masuala ya Ushoga? Na mwanaume akiwa shoga anaweza ngonoka na mkewe kama kawaida? Nifanyeje kukomesha tabia hii ambayo inaninyima raha katika ndoa yangu?
Pole kwa maswali marefu naomba unisaidie kwa ushauri.