Hebu jifunze kuitunza ndoa yako ewe mwanamke uliyeolewa.

mxsdk

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
3,585
2,049
1. Muite kwa jina lake la utani

2. Muache atumie mamlaka yake kama kichwa cha nyumba.

3. Usimcheke akiwa ameumizwa na jambo fulani.

4. Kaa kimya pale anapokuwa na hasira. Unaweza ukaenda kumuomba msamaha na kumueleza kwanini ulimkosea pale hasira zinapokua zimemuisha.

5. Kuwa na haraka ya kuomba msamaha pale unapokosea, sisitiza juu ya msamaha na mbusu pale anapokusamehe.

6. Ongelea mazuri yake na yeye kabla ndugu, jamaa na marafiki hawajafanya hivyo.

7. Waheshimu wazazi wake.

8. Msisitize kuhusu kwenda kuwasalimia wazazi wake na kuwapelekea chochote. Na afanye hvyo na kwa wazazi wako pia.

9. Msuprise kwa chakula akipendacho, hasa kipindi kile anapokuwa na msongo wa mawazo. Na kamwe usimcheleweshee chakula chake.

10. Usiruhusu dada wa kazi amhudumie chakula mume wako ukiwa nyumbani.

11. Mkaribishe kwa kumkumbatia anapotoka kwenye mihangaiko yake. Msaidie mizigo aliyokuja nayo au hata begi.

12. Tabasamu pale unapomtizama, vaa vizuri na jipendezeshe pale mnapotoka wote kwenda kwenye warsha mbalimbali.

13. Mpigie simu na umwambie kwamba unampenda na umemkumbuka

14. Muamshe asubuhi na umpe romance kiasi kwamba ifike hatua ya kuhitaji, mpe na hata jishughulisha na wanawake wengine siku hiyo.

15. Kamwe usithubutu kutamka kuwa hakuridhishi na tendo la ndoa. Tafuta njia muafaka ya kufikisha ujumbe wako.

16. Mwambie ni kiasi gani una bahati kuwa nae kama mume wako.

17. Mkumbatie tu bila sababu yoyote ile.

18. Mshukuru Mungu kwa kukupa Adamu wako katika maisha yako.

19. Kumbuka kumuombea na kumkabidhi mikononi mwa Mungu.

20. Tengenezeni utaratibu wa familia nzima kumshukuru Mungu kwa pamoja kila asubuhi na usiku kabla ya kulala.

Mungu abariki ndoa yako. Mlio single Mkapate wapenzi wenye mapenzi ya kweli leo na daima.

Na wasio serious na mahusiano wanaokupotezea muda wako wajikatae kwako mapema ili wasikuzibie nafasi ya kutimiza kusudi la Mungu kwako.

Kama yapendeza basi Kwanini tusiseme "Amen"
 
Ndoto za kiafrika bwana
14716583_202176880257461_6857823299984949248_n.jpg
 
Imekaa vizuri ila unaweza fanyiwa vyote hivyo mwanaume ukakosa kurudisha mema,hivyo usitegemee kuwa itadumu. Maana reply ikiwa mbaya inamvunja moyo
 
Wanawake wengi wanauwezo /wanafanya hao tatizo huyo unaemfanyia ni balaa. Ukimtumia sms missed u my hubby Reply ni umeacha kufanya kazi unatuma mameseji ya mapenzi Hahaaaa ndoa ni shida
 
Ukipata mume bora ujue kuna watu wanamtamani pia. Zaidi waafrika wengi wamezaliwa katika roho za mitala,usimwache mumeo eti kisa kachepuka. Na jinsi ya kumpa mapenzi kwa kweli lazima uwe unajifunza kitu kipya kila siku usiwe predictable atachoka tu.
 
Hongereni wakina mama/wake kwa kupata somo hili zuri

Back
Top Bottom