yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,636
- 3,658
Habarini za weekend wana jukwaa.
Ni mwaka sasa umetimia nikiwa na mchumba wangu. Na sasa nshatangaza ndoa tayari.
Ila nasita kidogo kuendelea na mchakato kwa sababu nahisi huyu mchumba anaweza kuwa na tatizo la uzazi. Tumekuwa tukinjunjana sana hata kwenye siku za hatari, lakini bahati mbaya haijawahi kutokea akapata ujauzito.
Mimi binafsi sina tatizo la uzazi kwa sababu nilishathibitisha hilo kwa 100%.
NB: Huyu mchumba wangu pia ana tatizo la kupishana sana tarehe za period.
Mnanishaurije wana jukwaa, niendelee na mchakato? Au nichukue hatua gani?