Urafiki kati ya ME & KE unawezekana ?

Mr Natafuta

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
1,670
763
Habari nyie watu

Aloo niko na kaswala kananipa shida flan, sielewi ni kwangu tu au kwa wanaume wote. Huu urafiki kati ya mwanaume na mwanamke ivi unaendanga hivyo hivo bila kugusana ?

Kwakweli upande wangu nikiwa na rafiki wa kike tunaishiaga kunjanjuwana tu mwisho tunaitana dada & kaka. kuna mmoja tulifikia mahali kubariki undugu kabisa ila sijui ilikuwaje tu hata yeye nikamgeuka sasa sijui yeye ndio alinigeuka au mimi ndio nlimgeuka nlichostukia nikwamba tumenjanjuwa na kibaya zaidi ilikuwa mara tatu kwa siku kwa siku tano

WAZE HAWA WATU WAKIWASOGELEA MNAKUWA MARAFIKI TU ?
 
Urafiki unawezekana mkuu..!

Mimi mbona nina marafiki wengi tu wa kike, kuna niliosoma nao, kuna niliowahi kupanga nao nyumba moja,majirani na hata pia kuna wanafanyakazi wenzangu. Na sio kwamba tulikuwa tunakunjuana ( as you call it..LOL ).

Ila kiukweli changamoto zipo za hapa na pale, maana miongoni mwao kuna wengine walikuwa ni wazuri hata kuliko demu wangu, halafu wengine mbali na uzuri wao unakuta tumezoeana kinomanoma.

Ila sometime kujilindia heshima, ilinibidi nijifunze kutazama na kupotezea.
 
Mimi ryt now naweza kidogo...if ur lonely as i am in the past few days u goin to nid friends
 
Hawa wanaojiletaga wnyw
Ukiwaacha tu ujue mtaan
Jina lako lnaharibika

Hawakawii kukuita hanith

Na kama huo mtaa m wazaramo wamezd
Bhas ujiandae kurud
Kwa nyumba night na kutoka
6 asubuh ili
Kuepukana na hilo zogo
 
Inawezekana kuwa marafiki bila mahusiano ikiwa tu mmoja kumpenda mwingine (hasa wa kiume) zaidi lakini akawa anaogopa kujieleza matokeo yake yule mwanamke akitongozwa huko anakua anamsimlia kila kitu huyo rafiki wa kiume.Mwanzo yanakua maumivu makali ya wivu(nina uzoefu kwa wasichana wanne) lakini baadae unakubaliana na hali maana hata ukimgusia mambo ya mapenzi anaishia kukucheka lakini kesho yake atakutafuta muwe wote.Wanakua na wivu sana maana wasichana wa aina hiyo hawataki umpate mwanamke mcharuko.Kiujumla inawezekana kuwa marafiki bila kugegedana
 
Hawa wanaojiletaga wnyw
Ukiwaacha tu ujue mtaan
Jina lako lnaharibika

Hawakawii kukuita hanith

Na kama huo mtaa m wazaramo wamezd
Bhas ujiandae kurud
Kwa nyumba night na kutoka
6 asubuh ili
Kuepukana na hilo zogo

Sasa huu ukaka na udada wa mndengereko na mzaramo huwa unatokea wapi ? urafiki kati ya jinsia mbili zinazokinzana unakuwaje ?
 
Inategemea Sasa sio kila mtu utakuwa na Hisia naye wengine mimi hata nikikaa nao karibu haisimami so naamua kumfanya kama mdogo wangu tu /Dada yangu. Ila wale wazuri huwa naanza hivi nakuwa Natamani kujua angalau nusu ya maisha yao baadae katika kuendelea kutafuta hizo taarifa no way out mahusiano ya karibu yanahitajika. Urafiki hapo hutawezekana
 
Inawezekana kuwa marafiki bila mahusiano ikiwa tu mmoja kumpenda mwingine (hasa wa kiume) zaidi lakini akawa anaogopa kujieleza matokeo yake yule mwanamke akitongozwa huko anakua anamsimlia kila kitu huyo rafiki wa kiume.Mwanzo yanakua maumivu makali ya wivu(nina uzoefu kwa wasichana wanne) lakini baadae unakubaliana na hali maana hata ukimgusia mambo ya mapenzi anaishia kukucheka lakini kesho yake atakutafuta muwe wote.Wanakua na wivu sana maana wasichana wa aina hiyo hawataki umpate mwanamke mcharuko.Kiujumla inawezekana kuwa marafiki bila kugegedana

Bas mimi na wewe kama vile sayari zetu ni tofauti mimi kila aliejaliwa kuwa rafiki tuliishia kupambana bed
 
Inategemea Sasa sio kila mtu utakuwa na Hisia naye wengine mimi hata nikikaa nao karibu haisimami so naamua kumfanya kama mdogo wangu tu /Dada yangu. Ila wale wazuri huwa naanza hivi nakuwa Natamani kujua angalau nusu ya maisha yao baadae katika kuendelea kutafuta hizo taarifa no way out mahusiano ya karibu yanahitajika. Urafiki hapo hutawezekana

Sinaga baat ya kuwa na best mbaya kabisa lisije tokea lakutokea nikaharib alaf ukute hatazamiki
 
Sasa huu ukaka na udada wa mndengereko na mzaramo huwa unatokea wapi ? urafiki kati ya jinsia mbili zinazokinzana unakuwaje ?
He hee hee
Huo urafki labda uwe wa mbali
Mbali maaana kama
Niwa karbu na mnatuliaga
Gheto kupga mastory hapo

Lazma mgegedo uhuske otherwise
Mzeee tu uzubae

Kama hawa wa 4m4 ndo walioshindikana aseeeee waaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom