Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

nauliza,ndoa ya bomani inatambulika kisheria? vipi ikitokea migogoro ndani ya ndoa? kuna migogoro ambayo ni LAZIMA kusuluhishwa kiimani zaidi???
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu wa jukwaa salamu! Umefunga ndoa na mpenzi wako, Ndoa hairuhusu kuachana hadi kifo cha mmoja wapo kitokee, Mara baada ya ndoa mwenza wako anahukumiwa miaka 4 jela. Je ungemsubiri bila...
4 Reactions
129 Replies
7K Views
Naamini hamjambo kabisa japokuwa maisha ngangari lakini tuna endelea kugangamala kiubishi. Naomba kuwasilisha hii hoja ya kijamii inayoathiriwa sana na uchumi. Utakuta mwanaume anaolea ukweni...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Salama JF., Ikiwa leo ni siku ya Valentine nimerudi kutoka job naona mwili umechoka sana kama nina dalili za malaria. Mpenzi wangu toka mchana nimempa taarifa kwamba sipo vizuri kiafya. Ila cha...
1 Reactions
62 Replies
5K Views
Habari kwenu, Kweli moyo kichaka! Nimepokea kwa masikitiko maelezo yenu na misimamo yenu ya tarehe ya leo toka kwenu wote, naamini hisia hizo ndio ukweli mliobeba mioyoni mwenu. Nimegundua kumbe...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Topic closed
3 Reactions
56 Replies
4K Views
Umri wangu 32, dini muislam, elimu yangu shahada ya uzamiri, mimi ni mrefu. Nahitaji mchumba awe muislam mwenye kuitii dini, elimu awe na shahada kama ana kazi isiwe ya kwenda night. Asiwe mnene...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi nina miaka 27, muislam, nina bachelor degree natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya kweli na yuko tayari kuolewa na awe na sifa zifuatazo awe muislam awe na umri wa miaka 18-30 awe anaishi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 30 natafuta msichana wa kuishi nae kama mke wangu hapo baadae awe na miaka 20 mpaka 26. Aliye serious tuwasiliane awe na shughuli ya kufanya.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani wengi wa wanawake japo sio wote wapo kwenye mahusiano na waume za watu na wamejikuta wakipokea misaada mbalimbali toka kwa waume za watu ikiwepo kodi za nyumba fremu na mitaji ya biashara...
1 Reactions
55 Replies
6K Views
Habari za Jumapili wana MMU, Natumai mko vyema. Naomba tuusiane wadada, wamama na wanawake wa humu na hata wasio humu kwa ujumla haswa kwenye suala la umri wa kuolewa. Wapenzi kwa siye wenye...
32 Reactions
177 Replies
12K Views
Barua kwako mpenzi wangu Mpenzi wangu, Nikupendaye kwa dhati kutoka moyoni mwangu, Nakusalimia salamu ya huba iliyoambatana na busu motomoto. Mpenzi wangu nianze kwa kukushukuru sana kwa barua...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Mashaka na mkewe wameishi katika ndoa kwa miaka 7 sasa. Wana watoto wawili na kila anayewaona nje anaamini ni familia yenye furaha. Kipindi wameoana walikuwa na maisha ya kati mpaka baadaye...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Waamini "uchumba sugu" umepitwa na wakati, fungeni ndoa Kanisani! Agano la Ndoa, ambalo kwalo mume na mke huunda kati yao jumuiya ya ndani ya uzima na mapendo, limeanzishwa na kupewa sheria zake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nakerwa sana na uwepo wa hawa watu katika jamii kwani wamekuwa ni chanzo cha maasi mengi hapa duniani. Biashara hii haikuanza karne hii, ni biashara kongwe hapa duniani. Kila binaadam anafahamu...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Ndugu zangu wa JF, Mimi ni kidume cha miaka 24, Wazazi wangu wananishauri nikaukate mkono SWETA (govi) lkn mpenzi wangu ambaye ndio mke wangu mtarajiwa HATAKI niukate, anasema nikiukata...
1 Reactions
53 Replies
9K Views
Idadi ya watu duniani = 7.8 billion Wanawake = 5.6 billion Wanaume = 2.2 billion Kati ya wanaume 2.2 billion 1 billion wameshaoa tayari Million 200 wapo jela na wengine machizi. [emoji117]...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
Haya madudu wanayofanyiwa baadhi ya wanaume na akina mama yapo kwa kila kabila, utafiti umebaini kuwa ni moja ya taaluma ya Kibantu katika kuongeza au kuthibiti chachu ya mapenzi na ambayo...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Taratibu na kwa hatua za madaha mrembo shani alinesanesa kuelekea klabu ya usiku ya POME night Club.Alitembea kwa kunyata bila wasiwasi huku akijua fika hakuna kinachomwangusha! Naaam kwa urefu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habarini mabestito HEBU TUANGALIE DALILI ZA MWANAMKE AMBAYE ANAKUPENDA KWA DHATI KUJITOA KWA KILA HALI Mwanamke anayekupenda kwa dhati, atajitoa kwako kwa kila hali. Unajua, kuna mambo ambayo...
14 Reactions
58 Replies
27K Views
Back
Top Bottom