Uwepo wa makahaba/machangudoa, je tuwalaumu wanaume? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uwepo wa makahaba/machangudoa, je tuwalaumu wanaume?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by WALIMWEUSI, Jan 17, 2012.

 1. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Nakerwa sana na uwepo wa hawa watu katika jamii kwani wamekuwa ni chanzo cha maasi mengi hapa duniani. Biashara hii haikuanza karne hii, ni biashara kongwe hapa duniani.

  Kila binaadam anafahamu wazi madhara ya biashara hii kwa mtoa huduma na mpokeaji. Kukua na kuendelea kwa biashara hii nadhani lawama tuwatupie wanaume kwa sababu kama wangesema NO basi hawa watoa huduma wangetafuta shughuli nyingine ya kufanya!

  Wanaume mpooo??
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Demand vs Supply theory!
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Ingawa sidhani kuna yeyote anayestahili lawama lakini kinadharia tete kama kuna wa kulaumiwa basi walaumiwe wahusika wote.
   
 4. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Umesahau kwamba siku hizi kuna makahaba/machangudoa wanaume (vijana maridadi)..:coffee:
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Ilaumiwe serikali yetu kwa kutowatoza kodi
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Haswaaa
   
 7. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,362
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280
  hi huduma sisi madomo zege inatusaidia sana...
   
 8. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mwenyezi mungu atunusuru....
   
 9. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hard working citizens tunatozwa kodi kuendeleza nchi, kwa nini mapato ya serikali yapungue wakati kazi wanafanya?
   
 10. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hao nao ni wanawake tu coz wanaotafuta huduma si wanaume?
   
 11. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ikiwatoza kodi ina maana inahalalisha hiyo biashara.Mie nashindwa kuelewa hivi mwanaume anayepata hiyo huduma hajisikii vibaya kuona kuwa wenzie wasio na idadi wanapata hiyo huduma toka kwa huyo huyo mtu? Mbaya zaidi wapo wanaume ambao wanafanya nao as if wako na wake zao ambao its safe hata kufanya mambo fulani!Kuna mkaka namfahamu ye kila siku ana madonda mdomoni kisa machangudoa, lol, to be honest angetakiwa mtu akitoe kufa kwa ajili yao nadhani mimi ningejitolea ili kunusuru kizazi hiki na kijacho.
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Hivyo vidonda vinasababishwa na makahaba?
   
 13. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Of course, kunanihii kwa watu tofauti na kila mtu na litatizo lake unadhani asipate vidonda? Nyani au we ndo maisha yako unashangaa hujawahi pata vidonda?Teh teh, labda we huwa huwananihii kama wengine, lol!
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Jan 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Rule number one: never kiss a prostitute

  Rule number two: never eat her out
   
 15. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Mbona number three umeiacha
   
 16. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Goo for you coz you know the rules, others dont!Oh My God, too bad!If you dont do the two then what is he/she for!
  Back to the rules, if u dont kiss her then how comes you get sex with her? Which is bad, kissing or ...!
   
 17. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Duh! Kweli kazi ipo
   
 18. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #18
  Jan 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Rule number three: Never hit it raw. Always wear a Jimmy hat. For a precautionary measure, double up.
   
 19. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #19
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hehehe @ double up

  Hii rule ya msingi sana lazima itajwe awali ya zote ikiwezekana
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Jan 17, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,656
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  I know it's importance:poa
   
Loading...