Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,522
Jamani wengi wa wanawake japo sio wote wapo kwenye mahusiano na waume za watu na wamejikuta wakipokea misaada mbalimbali toka kwa waume za watu ikiwepo kodi za nyumba fremu na mitaji ya biashara.
Na hili limekuwa kama ni muundo wa maisha ya wadada wengi hapa mjini kwa kuishi kwa kutegemea hawa waume za watu.
Linapokuja swala la kutaka kuolewa huwa wanakuwa wagumu na kusema kuwa hawataki mitara sababu hao masponser wana wake.
Mbona vyao mnakula au hamjui kama wanawake? Kwanini msikatae na vitu vyao mkawambia wawapelekee wake zao?
Ebu kuweni na huruma japo kidogo basi.