Wadada bado nawakumbusha kuwa

Boloyoung

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
682
652
Idadi ya watu duniani = 7.8 billion
Wanawake = 5.6 billion
Wanaume = 2.2 billion

Kati ya wanaume 2.2 billion
1 billion wameshaoa tayari
Million 200 wapo jela na wengine machizi.
wanabaki billion 1

Kati ya hao billion 1
Million 500 hawana kazi
wanabaki million 500
Kati ya hao
5% = mashoga (gays)
3% = walokole
10% = jamaa zako
40% = watoto
30% = vijana
15% = waliobaki wana umri zaidi ya miaka 66.

Sasa wewe endelea kukataa wanaume sasa.
 
40a9f20b428b6ed474e192bdecd96000.jpg
am in a relationship with freedom
 
Mkuu ..Una maanisha sisi walokole hatujishughulishi na wanawake ama?
 
eti ile sensa ya 2012 ilikuwa 1:9=mwanaume:wanawake.......kwa wanahesabu wanajua ni dume moja majike tisa...mwanaume mmoja amiliki wanawake tisa.......hawa viumbe wamekuwa wengi mno
 
kwa takwimu hizo laiti ningekuwa mwanamke hiyo kesho ningeanza kuwapanga hapa kitaa...!!!hapo umesahau ile pasenti ya machizi,maplay boy nao lazma wahusike ktk kupunguza idadi ya wanaume coz wao ni wazee wakupita pita tu yaani km hawapo wao hawatakagi mahusiano sijui baby baby wao ni kufumua na kusepa tu so sio watu wakuhesabiwa saana kweli wanaume wapo wachache dunia hii mtukubali jamani
 
Back
Top Bottom