Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za leo wana JF Najitokeza mbele yenu ili kuweka wazi yaliyo moyoni mwangu. Sifa zangu ni kama ifuatavyo:- - Umri miaka 43 - Elimu ya chuo kikuu - Mkristo aliyeokoka - Nina watoto 3 ambao...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu, Nisiwachoshe Kwa Maneno mengi kama Mwanasheria.. Nadhani kila mtu ashafanya kati ya vitu hivo viwili..
5 Reactions
185 Replies
21K Views
Habari zenu wakuu. Napenda kwenda moja kwa moja katika point, hivi kama wewe ni kijana unalalamika unaendeshwa kimapenzi na mwanamke, tena used, na unafikiria mwisho wa siku ujinyonge!! huo ni...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kumekuwa na kilio kirefu sana juu ya wanandoa kusalitiana.Ifuatayo ni dawa ya kuzuia tatizo hilo ni kwa wale tu waishio ndani ya nyumba moja kama mke na mme au waliokwisha funga ndoa...
11 Reactions
160 Replies
22K Views
Tupate break kidogo kutoka kwenye siasia, Tracey na Edwin ni vijana wa ki-Tanzania waliokutana Durban South Africa wote wakiwa wanafunzi, Tracey alisomea banking na Edwin alikuwa mchumi...
14 Reactions
42 Replies
4K Views
Jamani leo na mimi nijaribu bahati yangu humu jukwaani, labda naweza vua samaki kwenye shamba la miwa, upweke huu! Mh! Kwa mlio zoea matusi na kejeli wala sivihitaji, mpite mkinyata kimya kimya...
1 Reactions
124 Replies
12K Views
Ndg wana jf nimepata mchumba mwembamba mzuri nampenda sana je tunaendana tutadumu?; Msaada wenu wana jf
0 Reactions
22 Replies
13K Views
Napendwa kuchukua fursa hii kuwapa taarifa na siyo mzuri kwa nilichokifanya ila ndo SHETANI ametufungulia njia na yameshatokea. Nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wa mtu tangu mwaka jana...
0 Reactions
74 Replies
8K Views
Baada ya maandalizi ya mapenzi mubashara mimi ndie nilieanza kwenda kuoga baada ya mimi kumaliza ndipo zamu ya kimada changu ndio nilipoanza kuwa mpekuzi wa ghafla katika mkoba nakutana na...
2 Reactions
67 Replies
9K Views
Yaani Leo kila kona ni red tu. Watu wanadanganyana eti wapenzi! Loh! Eti Leo ni siku ya wapendanao! Nakataa kbsa. Nakataa kbsa hata aje nani siwezi kukubali kuwa Leo ni siku ya wapenda nao...
15 Reactions
115 Replies
9K Views
Kampuni ya simu za mkononi itel imesherehekea siku ya Wapendanao kwa kuwachagua baadhi ya mashabiki wake kwenye ukurasa wake wa Facebook itel Mobile | Facebook na kuwaandalia sehemu maalum...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sekeseke la dawa za kulevya limenifumbua macho. Wahanga wa Dawa za Kulevya wako wengi saaanaaa. Tena wengine hawana mionekano ya 'kiteja' hata kidogo. Unaoana na mtu kumbe chini chini anabwia...
10 Reactions
51 Replies
6K Views
Nilikuja hapa jukwaani kutafuta mchumba, nawashukuru wote mlioonyesha ushirikiano nami kwa namna yoyote ile. Pia napenda niwashukuru wote mlioniletea kejeli na matusi yote. Asanteni sana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi nasema ni ushamba wengi wanadharau single mothers kama mtu asiyekuwa na thamani wakati asilimia kubwa huku wamelelewa na hao mnaowadharau au dada zenu nao wamezalishwa hapo kwenu, wengine...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
1, Mtu unakuja na rafiki 1, au 2 alafu mnaagiza bia laini ili mnywe nyingi, please jamani halimbaya mjini sasaivi msijifanye hamjui. Agiza bia ngumu angalau 4, 5 unywe ulewekidogo than off we go.
1 Reactions
31 Replies
3K Views
WABONGO WAMESHAANZA FITINA NA MTOTO WA DIAMOND ETI AMEFANANA SANA NA MUME WA ZARI.GREAT THINKERS NINI MAONI YENU?
5 Reactions
77 Replies
19K Views
Maharusi waliowasisimua wengi baada ya kutumia Sh100 pekee za Kenya kugharimia harusi, wameandaliwa sherehe ya harusi ya kufana jijini Nairobi. Sherehe hiyo ya marudio imeandaliwa katika bustani...
6 Reactions
44 Replies
6K Views
Heshima zenu wana MMU ni mdada niliyesoma nae O - level,ni msichana aliekamilika kisura na kimwili,miguu ya bia na umbo zuri, wakati tukiwa o level nilikua navutiwa nae sana,kwa kua nilikua...
3 Reactions
68 Replies
7K Views
Habari zenu wana JF, Mimi binafsi nimeshindwa kuelewa hii habari ya kutafuta mwenza humu JF watu hasa huwa wanaichukuliaje mfano nilikuwa nikipitia baadhi ya thread ambazo watu wamepost wakiwa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom