Testar
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,602
- 12,790
Wakuu wa jukwaa salamu!
Umefunga ndoa na mpenzi wako,
Ndoa hairuhusu kuachana hadi kifo cha mmoja wapo kitokee,
Mara baada ya ndoa mwenza wako anahukumiwa miaka 4 jela.
Je ungemsubiri bila kuchepuka hadi atoke ili mwendelee na maisha?
Je ungetafuta kamchepuko ka kupoozea wakati ukimsubiri atoke?
Au ungevunja taratibu zote na kufutilia ndoa mbali then utafute ndoa nyingine?
Je wewe ungefanyaje?