ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,301
Naamini hamjambo kabisa japokuwa maisha ngangari lakini tuna endelea kugangamala kiubishi.
Naomba kuwasilisha hii hoja ya kijamii inayoathiriwa sana na uchumi. Utakuta mwanaume anaolea ukweni anazaa watoto hadi watatu hana kiwanja wala dalili ya kuhama japo akapange.
Sasa najiuliza huyu anaweza kumwacha mke au ataachwa yeye. Na msemaji wa familia ni yeye au babamkwe au mkewe? Naona kama imekuwa kawaida siku hizi au ndiyo tunaendana na wakati?
Wenzangu mnaonaje hii.