mamso
Senior Member
- Feb 9, 2017
- 174
- 194
Mimi nasema ni ushamba wengi wanadharau single mothers kama mtu asiyekuwa na thamani wakati asilimia kubwa huku wamelelewa na hao mnaowadharau au dada zenu nao wamezalishwa hapo kwenu, wengine mabosi wenu ni single mom wanawalipa mnapata ka ujeuri cha pesa, gheto mnazokaa ni nyumba ya single mom, ukija huku unaponda man something ain't ryt with u. Obama was raised by a single mum. Etc