Shoshmita
Member
- Feb 12, 2017
- 71
- 38
Habari zenu wana JF,
Mimi binafsi nimeshindwa kuelewa hii habari ya kutafuta mwenza humu JF watu hasa huwa wanaichukuliaje mfano nilikuwa nikipitia baadhi ya thread ambazo watu wamepost wakiwa wanatafuta wenza na kukutana na baadhi ya wachangiaji wanatoa majibu ambayo hayaeleweki, sasa nilikuwa naomba kujuzwa hili swala la kutafuta mwenza JF ni sahihi ama si sahihi na je watu wanalichukuliaje?