Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,906
uko vzr, hebu dadavua vzr, unafanya kila baada ya sekunde 7 au?Basi mimi ni zaidi ya huo uhalisia maana mimi siwazi, mi nafanya.
Mi ni muda wote huwa nafanya kazi,uko vzr, hebu dadavua vzr, unafanya kila baada ya sekunde 7 au?
Anafanya kazi na kuwaza ngono vyote kwa pamoja!Kazi hafanyi?
Itakua sio halisia weweHilo haliwezekani. Wengine tunawaza sex ikifika wikiendi tu.
An idle mind is a devils workshop.Itakua sio halisia wewe