leah2
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 584
- 1,437
Yaani Leo kila kona ni red tu.
Watu wanadanganyana eti wapenzi! Loh!
Eti Leo ni siku ya wapendanao! Nakataa kbsa.
Nakataa kbsa hata aje nani siwezi kukubali kuwa Leo ni siku ya wapenda nao.
Leo ni siku ya wazinzi wanaodanganyana kweli kabisa.
Natamani nipendwe kila siku but not only Feb 14!
Wadada wenzangu Leo mtadanganywa, mtachezewa na kuchafuriwa then mtaachwa kwa sababu Leo ikipita upendo pia unakwisha kabisa.
Wapo watakao pata mimba zisizotarajiwa Leo pia wapo watakaopata ukimwi, pia wapo watakao pata magonjwa ya zinaa.
Acheni kudanganyana, upendo wa kweli unakuwepo siku zote haungoji tarehe 14 February.
Wengine mmetoroka wake zenu na waume zenu mmekimbilia mahawala kisa Valentine.... Loh!