Beberu-mpya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 216
- 104
Baada ya maandalizi ya mapenzi mubashara mimi ndie nilieanza kwenda kuoga baada ya mimi kumaliza ndipo zamu ya kimada changu ndio nilipoanza kuwa mpekuzi wa ghafla katika mkoba nakutana na Maharage ya kichina ndani ya mkoba aisee sikula mzigo nilipata Hernia ya ghafla na mdada alistaahabu na kunipa pole na asubuhi nilisepa ghafla na hadi jana nimemkimbia sipatikani kwa number yake.