Mtoto kufanana na mtalaka wa mke ni kitu cha kawaida

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
26,580
48,729
WABONGO WAMESHAANZA FITINA NA MTOTO WA DIAMOND ETI AMEFANANA SANA NA MUME WA ZARI.GREAT THINKERS NINI MAONI YENU?
16464334_1558197327527292_1865017452966969344_n-jpg.470406
16465710_1839188579703932_6330029668221059072_n-jpg.470407
16585674_1156415534480459_3079724072171470848_n-jpg.470653
 

Attachments

  • 16464334_1558197327527292_1865017452966969344_n.jpg
    16464334_1558197327527292_1865017452966969344_n.jpg
    27.7 KB · Views: 849
  • 16465710_1839188579703932_6330029668221059072_n.jpg
    16465710_1839188579703932_6330029668221059072_n.jpg
    35.4 KB · Views: 740
  • 16585674_1156415534480459_3079724072171470848_n.jpg
    16585674_1156415534480459_3079724072171470848_n.jpg
    24.5 KB · Views: 748
Ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani . ..

Kawaida kwako wewe mtoa mada si kawaida kwa kila mtu na si kawaida kwangu!
 
Ujue hata uliye naye alikuwa demu wa mwingine kabla hajawa wako! Tenda vile ambavyo unapenda kutendewa!
Ndiyo maana nimesema yote hapo kiuwazi kabisa toka moyoni. Lakini swali ni je wanaume wote tuko hivyo? Au huwa wanakumbushiana?
 
Ndiyo maana nimesema yote hapo kiuwazi kabisa toka moyoni. Lakini swali ni je wanaume wote tuko hivyo? Au huwa wanakumbushiana?
Kabla sijaoa nilikuwa nakumbushia ... unajua kuna mabinti nilikuwa nao huko kijijini .. hivyo ilikuwa nikirudi kijijini lazima niwatafute kukumbushia ...

Nilipooa ... gari langu likakosa gia ya kurudi nyuma ... sikutaka tena kurudia huko nilikotoka .... Misri .. moja kwa moja Kanaani .. ila sometimes ...

Machaka mapya yakawa yanajitokeza unashindwa kuchomoa unashtukia umechepuka ... mbaya sana hiyo ....

Usawa huu wa majukumu ... MICHEPUKO NO
 
kuna kitu hua kinanishangaza kuna uncle wangu mwanae kafanana na mama yake wa kambo hata ukiwaona pamoja unaweza ukazani ni mtoto wa kumzaa.
 
Back
Top Bottom