itel Mobile Tanzania Yasherehekea Valentine Kiaina

Wolle Melkas Fernando

JF-Expert Member
May 4, 2016
234
326
Kampuni ya simu za mkononi itel imesherehekea siku ya Wapendanao kwa kuwachagua baadhi ya mashabiki wake kwenye ukurasa wake wa Facebook itel Mobile | Facebook na kuwaandalia sehemu maalum kwaajili ya dinner.
C4s8GByWIAETb-W.jpg

Katika tafrija hiyo kila shabiki aliruhusiwa kwenda na ampendaye na kushiriki dinner na kila kitu bure.
Wakati wa uzinduzi wa sherehe hiyo kulikuwa na utambulisho wa simu mpya kutoka itel ambayo ni Itel S31 yenye uwezo wa kupiga selfie hata katika eneo lenye mwanga hafifu au giza.
-Camera ya mbele 5MP na LED Flash
-ROM 16GB + RAM 1GB
-IPS Screen 5.5" HD Display
-Nyembamba kwa 8.5mm
itel.png

Simu mpya ya itel S31

ILIVYOKUWA
Katika siku ya wapendanao washiriki waliwasili wakiwa na bashasha huku wakiwa wameshikilia maua ya itel na ya Valentine Day. Walielezea namna siku ya Wapendanao inavyomaanisha kwao huku kila mmoja akiwa karibu na yule ampendaye.
C4tA_fRXUAExYHn.jpg


Kwa upande mwingine, washiriki walipata nafasi ya kila mmoja kuelezea hisia zake za kusherehekea siku ya Wapendanao na itel Mobile Tanzania.
C4tBuQtW8AAPMW2.jpg


Kutokana na furaha waliyokuwanayo tabasamu halikuweza kuisha kirahisi.
C4tDWiTWAAAN1XD.jpg


C4tHZ8HWAAEmFaN.jpg

KUHUSU KAMPUNI YA itel
itel Mobile ni kampuni ya simu ambayo mpaka sasa ina umri wa miaka 10 na ni kampuni ambayo tayari imeonekana kuwa karibu zaidi na wateja wake online na offline, hii ni kampuni ya masuala ya teknolojia na uvumbuzi, iliyojikita kwenye masuala ya SIMU. Karibu kipindi cha muongo mmoja kampuni hii imekuwa ikitamba kwa kusambaza bidhaa zake kwenye zaidi ya nchi 45 Duniani kote.
Mwaka 2016, itel iliuza zaidi ya bidhaa zake milioni 50 barani Afrika na kuongoza kwa kushika nafasi ya kwanza kwenye tatu bora ya Kampuni za simu zenye idadi kubwa ya mauzo ya bidhaa zake.
Kila unaponunua simu ya itel, unapewa miezi 12 ya kuhudumiwa bure pale simu yako inapopata hitilafu yoyote ya kiufundi, hii ni kutokana na kuwa na vituo vya huduma kwa wateja wake baada ya mauzo yaani CarlCare service centers vilivyoko nchini.
service_center.jpg

Itel Join.Enjoy!!!



 
Mbona hatuoni misosi hapo au mliwapausha naona soda tu picha 3 watu walewale alafu kama vile mlialika watu wawili alafu kiramtu akaja na mpenzi wake uyo mwingine ndo wakala hahahaha
 
Back
Top Bottom