Zurie
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 2,002
- 5,534
Sekeseke la dawa za kulevya limenifumbua macho. Wahanga wa Dawa za Kulevya wako wengi saaanaaa. Tena wengine hawana mionekano ya 'kiteja' hata kidogo. Unaoana na mtu kumbe chini chini anabwia sembe unashangaa baadae anafikia pabaya anakuja kukuacha na mzigo wa kumlea yeye na familia nzima. Au unaingia kwenye mahusiano na mla unga mwishowe anakuzamisha penzini na kisha kukuingiza kwenye Uraibu.
Sasa jana RC Makonda kaonesha kipimo kinachoweza kupima utumiaji wa madawa tena amedai kinauzwa tu pharmacy. UKIMWI siku hizi mnahimizwa hata kanisani kuwa ni LAZIMA. Na hili pia liwe lazima ili kama mwenza ashawahi kubwia aende rehab kabisaaa.
Tanzania bila UKIMWI inawezekana, Tanzania bila MADAWA inawezekana.