Beberu-mpya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 216
- 104
Napendwa kuchukua fursa hii kuwapa taarifa na siyo mzuri kwa nilichokifanya ila ndo SHETANI ametufungulia njia na yameshatokea. Nimekuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wa mtu tangu mwaka jana October na sasa nimempachika ujauzito na bado anaishi na mumewe tangu nilivyoanza nae mahusiano sasa takribani miezi miwili anaujauzito wangu kwa sio wa baba mwenyewe kwani yeye alishasafiri kikazi tangu Desember na sasa amerudi.
Sasa naomba kujua mtoto ambaye atazaliwa atakuwa wangu ama wa mwenye ndoa? Ingawa mama mwenyewe anasema hajaweza kumwambia kuwa ana ujauzito na anasema anataka kumbambikia. Sasa naombeni ushauri juu ya jamabo hili kuhusu mtoto atakae zaliwa atakuwa mali ya nani?