buffaro89
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 592
- 378
Habari zenu wakuu.
Napenda kwenda moja kwa moja katika point, hivi kama wewe ni kijana unalalamika unaendeshwa kimapenzi na mwanamke, tena used, na unafikiria mwisho wa siku ujinyonge!! huo ni ujinga,ufara na ulimbukeni wa maisha!!
tunashuhudia vijana wengi hususani vijana wa kiume, wanao jiita majembe, vidari au tuna!! leo hii tunakuja kusikia unataka kujinyonga au umekunywa sumu, kisa Recho, hadija au kinani sijui!!
Sisi kama wanaume, mnatudhalilisha wanaume na hadhi ya uwanaume mnaivunjia heshima. Nyinyi wanaume hasa wa mikoani!! Mnapenda sana kujinyonga nyonga kisa wanawake!
Wanawake wasiwachanganye! Acheni zenu, tafuteni maisha, unaitwa mwanaume kwasababu kuna mwanamke.