Majukumu ya mwanamke yanafanana kabisa na majukumu ya viumbe vingine vyenye jinsi ya kike, na yatabaki hivyo hivyo kama yalivyotoka kwa Mungu. Kazi wanazofanya majike ya simba, ng'ombe, kuku na...
Kwa wanawake na wanaume, wote msikie,
Kuna baadhi yenu mnatamani kuwa na relationship nzuri, lakini tatizo hata kissing tu ni shida. Mtafeli! Unakiss na mtu ana vurugu utadhani anapalilia...
Kuna Tukio lilimemtokea jamaa yangu mmoja ,kuna siku alikuwa sehemu na kabint ka moja ,ambapo kalishatolewa barua na mshkaji mmoja,
Na kwakuwa jamaa alikuwa mtu wake wa kitambo,wakapanga...
Instead of looking at your connection as relationship, try to view it as partnership. Partnership will lead you to a whole new level.
* Wale waliojiunga JF tangu 2006 - 2011 Tujadili*
Wanawake watanipa jibu..kwanini huwa mnavutiwa na wanaume wenye vifua vikubwa,Misuli misuli.
Je hao ndo wako fiti kila idara au ni mtazamo wenu kwa mahitaji yenu.
5 Things You Could be Doing with Your Money Other than Having a Pricey Wedding
Your wedding day is a BIG day. I get it. When I got married, over eight years ago, I wanted everything to be...
Kwenye Saluni nyingi za wanawake, mazungumzo mengi yanahusu maisha ya watu na hasa kuhusu mapenzi na kipato, kashfa na saikolojia zisizo rasmi kuhusu ndoa na uhusiano.
Kuna mazungumzo ya...
Kama una date binti wa umri wa kuanzia miaka 23 huna mpango wa kumuoa fanya jambo la kiungwana na kumuambia ukweli.
Sikuambii umuambie kua humtaki na hutaki kuoa bali muambie kua wewe si muoaji...
Habari wana JF,
Natumai mko poa, na mishemishe za kulikimbiza tonge la kila siku zinaendelea vizuri.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Nikiwa ninamaanisha kuwa suala la kuchelewa kuolewa...
Wakuu,
Nimeamua mwenyewe kwa moyo wa dhati kabisa bila kushinikizwa na mtu yoyote nikiwa na akili timamu kabisa kuhamia kwa mama lishe na mabeki tatu, singo mazazi ili nijiokoe na dhahama ya...
Mambo,mambo vipi!?
kichwa cha habari nadhani kipo clear,natafuta mwanamke wa kuoa kwa mkataba,mkataba ni renewable baada ya mwaka,probation time ni miezi sita ndani ya hiyo miezi awe na uhakika wa...
MATESO YANGU
SEHEMU YA 001
Ilikuwa 08/09/2007 nikiwa nasoma chuo cha Elimu ya Biashara (college of business education) nikiwa ndio kwanza nauanza mwaka wa kwanza nikisomea Utawala wa Biashara...
Sasa yapita miaka miwili toka tuachane kimapenzi na x~girls wangu, na kubahatika kuoa mtoto mzuri wa kimakonde tofauti na hao nilikua nadate nao kila kukicha,
cha kushangazaa zaidi miezi miwili...
Habari wana JF,
Husika na kichwa cha habari,
Natafuta friends went sifa kama hizi;
SIFA
Umri- 27 up to 32
Dini - Muslim
Elimu - degree na kuendelea
Awe amejiari / kuajiriwa
Mambo mengine...
Ni ishu ya kijamii zaidi yenye mtazamo kanganyiko na mikonyezo mingi...yote hii ni kukosa ujasiri wa kuwa muwazi badala yake kubaki na unafique viwango vya ISO
Msinipige mawe hamtanipata lakini...
Zikiwa zimebaki siku chache kuelekea siku ya wapendanao almaarufu kama valentine day, Nimeamua kuandaa uzi huu kama uwanja 'spesho' kwa yote yahusianayo na msimu huu wa wapendanao!.
Naamini kwa...
Natumaini wazima humu!!
Ipo hivi mwanamke hata akikuzidi elimu, kipato au chochote kile sio sababu ya kukudharau, wanaume tumepewa siraha directly kutoka kwa Mungu tangu siku ile ambapo nucleus...
Wadau habari zenu
Kiukweli hadi umri huu sijui maana ya ukeketaji yani naskia tu mwanamke flani kakeketwa mara serikali inapinga ukeketaji lakini binafsi sijajua nini hasa maana ya ukeketaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.