Kama unahisi asipopokea simu yako wakati huo anachepuka, ina maana akipokea wakati huo hachepuki?

Nyoka_mzee

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
3,695
5,515
Kuna Tukio lilimemtokea jamaa yangu mmoja ,kuna siku alikuwa sehemu na kabint ka moja ,ambapo kalishatolewa barua na mshkaji mmoja,

Na kwakuwa jamaa alikuwa mtu wake wa kitambo,wakapanga kukutana sehemu ,kwa ajili ya kuagana na kupeana mgegedo wa mwisho mwisho,kabla jamaa mwingine ajachukuwa jumla,

kilichotokea ndicho kilinistajabisha pale jamaa alipokuja nihadithia ,

Kuwa katikati ya mgegedo wao,binti akiwa juu ya kifua simu yake iliita ,
Na ili bidi zoezi likatishwe na apokee simu ya mlengwa huku bado akiwa juu,
"Alipoulizwa kuwa yupo wapi ?

Demu alijibu kuwa yuko nyumbani amelela,
jamaan upande wa pili akaridhia na kukata simu na watu kuendelea na mgegedo wao kama kawaida hapa,

Nilichojifunza wengi huwa tunaibiwa kwa namna hii ,na huwa tunahisi kuwa wasipopokea simu ndo wanatusalitii.

Kumbe anaweza pokea simu juu ya kifua akiwa anagegedwa,
 
Ndio kama sasa hivi, nimepigiwa simu, jibu nlilotoa najua mwenyewe na ameridhia..but lait angejua.., na hapa nachungulia huku kama kawa! Daah akili zangu zinaakili zake zenyewe!
 
Ndio kama sasa hivi, nimepigiwa simu, jibu nlilotoa najua mwenyewe na ameridhia..but lait angejua.., na hapa nachungulia huku kama kawa! Daah akili zangu zinaakili zake zenyewe!
Hahahaha staki kuamini mkuu ujuu saiv

na staki kuamini jamaa ummjibu uko tu om umelala

kumbe maskini ya mungu umelarwa


eeee mungu nusuru kizazi hiki
 
Hahahaha staki kuamini mkuu ujuu saiv

na staki kuamini jamaa ummjibu uko tu om umelala

kumbe maskini ya mungu umelarwa


eeee mungu nusuru kizazi hiki
Mkuu, sijalalwa bhana..
Hapa ni mahabat mubashara....!!
 
IMG_20170210_221058.jpg
 
Back
Top Bottom