Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Wadau habari zenu
Kiukweli hadi umri huu sijui maana ya ukeketaji yani naskia tu mwanamke flani kakeketwa mara serikali inapinga ukeketaji lakini binafsi sijajua nini hasa maana ya ukeketaji mwanamke kunakuaje ebu nijuzeni wadau