Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,042
Zikiwa zimebaki siku chache kuelekea siku ya wapendanao almaarufu kama valentine day, Nimeamua kuandaa uzi huu kama uwanja 'spesho' kwa yote yahusianayo na msimu huu wa wapendanao!.
Naamini kwa namna moja ama nyingine siku hii inaweza kugusa hisia zako either positively au negatively!. Kwa sababu mengi hutokea.Yapo yanayoumiza,kwaza lakini pia yanayofurahisha.
Share na wanajamvi moments zako za valentine day toka umeijua mpaka tunapoelekea kwenye hii ya 2017.
Nawasilisha kwa wapendanao wote.