Mwanaume kudharaulika na mwanamke ni uzembe

kombaME

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
2,115
2,815
Natumaini wazima humu!!

Ipo hivi mwanamke hata akikuzidi elimu, kipato au chochote kile sio sababu ya kukudharau, wanaume tumepewa siraha directly kutoka kwa Mungu tangu siku ile ambapo nucleus ya sperm ilipoungana na nucleus ya ovum through fertilization na kuunda male zygote, silaha tuliyopewa ni KUTAWALA, Biblia inasema wazi paleambapo Mungu anampa adhabu Eva alimwambia hivi''tamaa yako itakuwa kwa mumeo naye ATAKUTAWALA'',

Hata mtume Paulo kt nyaraka zake alisema''MWANAUME AMPENDE MKE WAKE KAMA KRISTO ANAVYOLIPENDA KANISA'' alafu akasema kwa wanawake''MWANAMKE 'MTII' MUMEO KAMA UNAVYOMTII KRISTO'', unaweza ona mwenyewe utofauti wa 'kupenda' na 'kutii', kutii ni kuwa chini ya mamlaka inayokupa amri.

Sasa wanaume wengi siku hizi wanakosa hayo mamlaka ya'KUTAWALA' na sababu kubwa ni kutojiamini tu, wewe ni mwanaume, wewe ni kichwa acha kupelekwa pelekwa, ipo hivi unatakiwa kutoa maamuzia ambayo mke wako anatakiwa either afuate au aondoke sio unabadili badili maamuzi eti kisa mkeo amenuna, itageuka yeye ndo atakutawala wewe.

Ukisema familia yangu inaenda this way ni this way kweli, kama hataki aende zake kuliko kumpa mtoto wa kike akutawale tawale baadae unakuja na thread ndefu kulalamika humu, acha kuwapa wapa nafasi ya maamuzi hawa viumbe vitakusumbua sana.

Na kikubwa nikuwa maamuzi yako yawe yenye weledi, lazima atakuheshimu na ukisema kitu huyoooo ananyoosha kufuata, sio unabishana bishana na mkeo kama we ni mke mwenzake bhana, hata wao wanapenda wanaume wenye mamlaka ndani ya nyumba, usiige ulaya wale wamefundishwa hivyo tangu utoto lakini hawa wa kwetu ukiwapa nafasi kidogo tu ya kukutawala you are finished.

''HAKUNA NDOA YENYE DEMOKRASIA IKADUMU''
hawa viumbe ukiwapa nafasi moja ya kukuendesha watataka na nyingine, na nyingine, na nyingine zaidi mwisho unakuwa we mwanamke alafu yeye mwanaume a.k.a unakuwa mume bwege.... USISEMA HUKUAMBIWA........
 
Hawa viumbe nawa amini wakiwa mwisho tu!

Utasikia wanaomba haki sawa, wamepewa saivi wanaomba kuwezeshewa!

Kama wao ni sawa na sisi kwa nini wakipewa haki sawa na sisi bado wanaomba kuwezeshwa!

Tangu mwanzo mwanamke hajui anacho kitaka.Wananyoa nyusi kisha wana paka rangi zao nyeusi kufatisha walipo nyoa,kama Mungu ajawalidhisha wewe ni nani?

Kwa niaba ya watu wenye asili ya wanaume halisi Mwanamke ni mtu wa kuongozwa tu bila kusahau kuwaheshimu wanao stahili & vice versa
 
kizazi cha sasa kwa demokrasia hakiendi.. ndio maana magu na mama janeth wamedumu...

hata mimi nafata mfumo huo huo anataka afanye nachokiamua hataki aondoke..

atanuna nuna mwanzo ila atakuelewa...

husijifanye una demokrasia ukiishi na mwanamke hasa hasa mkeo..

ni bora ndoa ivunjike kuliko kufa kwa stress
 
Hawa viumbe nawa amini wakiwa mwisho tu!

Utasikia wanaomba haki sawa, wamepewa saivi wanaomba kuwezeshewa!

Kama wao ni sawa na sisi kwa nini wakipewa haki sawa na sisi bado wanaomba kuwezeshwa!

Tangu mwanzo mwanamke hajui anacho kitaka.Wananyoa nyusi kisha wana paka rangi zao nyeusi kufatisha walipo nyoa,kama Mungu ajawalidhisha wewe ni nani?

Kwa niaba ya watu wenye asili ya wanaume halisi Mwanamke ni mtu wa kuongozwa tu bila kusahau kuwaheshimu wanao stahili & vice versa
Naunga mkono hoja
 
Natumaini wazima humu!!

Ipo hivi mwanamke hata akikuzidi elimu, kipato au chochote kile sio sababu ya kukudharau, wanaume tumepewa siraha directly kutoka kwa Mungu tangu siku ile ambapo nucleus ya sperm ilipoungana na nucleus ya ovum through fertilization na kuunda male zygote, silaha tuliyopewa ni KUTAWALA, Biblia inasema wazi paleambapo Mungu anampa adhabu Eva alimwambia hivi''tamaa yako itakuwa kwa mumeo naye ATAKUTAWALA'',

Hata mtume Paulo kt nyaraka zake alisema''MWANAUME AMPENDE MKE WAKE KAMA KRISTO ANAVYOLIPENDA KANISA'' alafu akasema kwa wanawake''MWANAMKE 'MTII' MUMEO KAMA UNAVYOMTII KRISTO'', unaweza ona mwenyewe utofauti wa 'kupenda' na 'kutii', kutii ni kuwa chini ya mamlaka inayokupa amri.

Sasa wanaume wengi siku hizi wanakosa hayo mamlaka ya'KUTAWALA' na sababu kubwa ni kutojiamini tu, wewe ni mwanaume, wewe ni kichwa acha kupelekwa pelekwa, ipo hivi unatakiwa kutoa maamuzia ambayo mke wako anatakiwa either afuate au aondoke sio unabadili badili maamuzi eti kisa mkeo amenuna, itageuka yeye ndo atakutawala wewe.

Ukisema familia yangu inaenda this way ni this way kweli, kama hataki aende zake kuliko kumpa mtoto wa kike akutawale tawale baadae unakuja na thread ndefu kulalamika humu, acha kuwapa wapa nafasi ya maamuzi hawa viumbe vitakusumbua sana.

Na kikubwa nikuwa maamuzi yako yawe yenye weledi, lazima atakuheshimu na ukisema kitu huyoooo ananyoosha kufuata, sio unabishana bishana na mkeo kama we ni mke mwenzake bhana, hata wao wanapenda wanaume wenye mamlaka ndani ya nyumba, usiige ulaya wale wamefundishwa hivyo tangu utoto lakini hawa wa kwetu ukiwapa nafasi kidogo tu ya kukutawala you are finished.

''HAKUNA NDOA YENYE DEMOKRASIA IKADUMU''
hawa viumbe ukiwapa nafasi moja ya kukuendesha watataka na nyingine, na nyingine, na nyingine zaidi mwisho unakuwa we mwanamke alafu yeye mwanaume a.k.a unakuwa mume bwege.... USISEMA HUKUAMBIWA........
Ha ha haa! Sikupanga kucheka leo, nimecheka kwa hii thread. Kwa kifupi umepiga msumari panapo target. Safi sana kombaME
 
Umenikumbusha leo nipo sehemu, mwanamke anapigiwa simu na bwana wake

Akasema : eeh sema shida yako. Kwani unataka nini? Nipo njian naenda hospital. Sikusikii bwana. Akakata simu.

Nilijitafakari saana.
Hapo ujue katoka home bila kuaga .. na wala haendi hospital. Ila all in all huyo mwanamke ana mapungufu ya akili.
 
Wakati na kua nilikua namuona mzee wang mkorofi sana na bi mkubwa alikua analalamika mzee mtata!! Sasa nimeingia uko nataona kumbe mzee alikua sahii kabisa na mimi napita mulele acha waseme vyakurithi vinazid lakin ndo njia sahii kuweka heshima ya family
 
Wakati na kua nilikua namuona mzee wang mkorofi sana na bi mkubwa alikua analalamika mzee mtata!! Sasa nimeingia uko naona kumbe mzee alikua sahii kabisa na mimi napita mulele acha waseme vyakurithi vinazid lakin ndo njia sahii kuweka heshima ya family
 
Wakati na kua nilikua namuona mzee wang mkorofi sana na bi mkubwa alikua analalamika mzee mtata!! Sasa nimeingia uko nataona kumbe mzee alikua sahii kabisa na mimi napita mulele acha waseme vyakurithi vinazid lakin ndo njia sahii kuweka heshima ya family
Mkuu kwa siku ya leo nimeimaliza hapa!
Big up
 
Back
Top Bottom