Natafuta mwanamke wa kuoa kwa mkataba wa miezi tisa

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,294
Mambo,mambo vipi!?
kichwa cha habari nadhani kipo clear,natafuta mwanamke wa kuoa kwa mkataba,mkataba ni renewable baada ya mwaka,probation time ni miezi sita ndani ya hiyo miezi awe na uhakika wa kubeba mimba.
Mavazi na vipodozi atajitegmea yeye!!
Chakula na sehemu ya kulala ni kwangu.
Sientartain ndugu..kasoro mamamkwe babamkwe na wadogo ama wakubwa zake wa kuzaliwa!!
Awe na kazi..
Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja.
Mtoto wake ntamlea mwenyewe kama wa kwangu.
Awe mnene kiasi..
Elimu chuo na awe na kazi yake.
Umbea umbea nyumbani kwangu sipendi.

Ugomvi ugomvi ndo umenifanya nisioe mwanamke wa kuishi nae maisha yote,mambo ya kuingiliana Uhuru wangu sitaki.
Mkataba utasainiwa kwa mwanasheria
Ni pm kwa maelezo zaidi.
 
Mkuu, ramadhani inakaribia, enheee?
 
Sasa mkataba wa miezi tisa akishazaa huyo mtoto inakuaje baada ya mkataba kuisha na hujampenda mkaachana? Ushawai kufikria mtoto kukaa na wazazi tofauti?
Sipendu stress za ndoa tuki kick poa tunarenew 2 years mtoto itakua anakomaa kidogo kidogo.!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom