Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,547
- 729,423
Msinipige mawe hamtanipata lakini ukweli ni kwamba washindwa wengi hufurahia anguko la washindi, vita ya wenye nacho ni tofauti kabisa na vita ya wasionacho vs wenye nacho,
Jamii kwa takriban siku kumi mfululizo ilitekwa na taharuki la furaha na huzuni kwa wachache kufuatia watu wenye hela zao kutuhumiwa kujihusisha na ishu za mihadharati
Waliotuhumiwa ni wengi waliokamatwa ni wengi pia lakini kilichoiteka Jamii yalikuwa ni majina yasiyozidi kumi
Siangalii njia walizopita mpaka wakawa wao!THE END JUSTIFIES THE MEANS! wengi wetu moyoni tunatamani kuwa kama wao!!! Ninachoangalia ni ule uthubutu waliokuwa nao walivyopambana walivyojitoa mpaka wakapata walichonacho hata kuwa katika ramani ya gumzo kila mahali....
Kimoja cha wazi kilochoonekana ni
-Unafiki wa machozi ya mamba
-chuki ya wazi
-nderemo na vifijo kuwa afadhali naye kapatikana
Hii ni hulka ya kiasili ya mwanadamu hatupaswi kulaumu kuponda kusimanga ..bali tutumie muda wet huu kuwa sisi akina wao wajao
We are the future we are the next! Ya ngoswe mwachie ngoswe huyajui vema usikenue meno kufurahia anguko Lao