Wewe hujaweka sifa zako hapa, kumbuka hata hao unaotaka wawe friends wako nao wanahitaji friends wenye vigezo(sifa) kadha wa kadha.Habari Wana jf, husika na Kichwa cha habari, natafuta friends went sifa kama hizi;
SIFA
Umri- 27 up to 32
Dini - Muslim
Elimu - degree na kuendelea
Awe amejiari / kuajiriwa
Mambo mengine tutayaongea PM
Ila yeye ajatoa CV zakeWenye miaka sita na elimu darasa la saba tunapitaa
Mzee kombo apo nadhani alimpa binti wake na kumuongeza mmojaMzee Kombo kwa siku moja alipokea posa ya binti yake Hamida kutoka kwa watu watatu tofauti,
na akawataka waje kesho yake ndio atawajibu kwamba ni yupi alikubaliwa posa yake.
Siku ya miadi ilikuwa hivi
*Mzee Kombo* alimuuliza wa kwanza: Enhee, baba! Unaitwa nani?
*Kijana:* Naitwa Muhammad
*Mzee Kombo:* Jina lako zuri na ni jina la Mtume
*Kijana:* Ndio baba
*Mzee Kombo:* Katika Quran kuna sura inaitwa Muhammad; je unaijua?
*Kijana:* Ndio!
*Mzee Kombo:* Hebu nisomee
*Kijana:* Daah! mzee siijui
*Mzee Kombo:* Basi huwezi kumpata binti yng
*Mzee kombo:* Enhee, na wewe unaitwa nani?
*Kijana 2:* Naitwa Yusuf
*Mzee Kombo:* Alaa! Nawe pia una jina la mtume na katika Qur an ipo sura kwa jina lako; hebu isome kidogo
*Kijana 2:* Duuh! siijuwi, mzee.
*Mzee Kombo:* Basi nawe huwezi kumuowa binti yangu
Akamgeukia na yule kijana wa tatu na kumuuliza: enhe mwanangu, nawe unaitwa nani?
*Kijana:* Naitwa _Qulhuwallahu!_
![]()
Hah hah hah huyo lazima awe mkwe wa mzee komboMzee Kombo kwa siku moja alipokea posa ya binti yake Hamida kutoka kwa watu watatu tofauti,
na akawataka waje kesho yake ndio atawajibu kwamba ni yupi alikubaliwa posa yake.
Siku ya miadi ilikuwa hivi
*Mzee Kombo* alimuuliza wa kwanza: Enhee, baba! Unaitwa nani?
*Kijana:* Naitwa Muhammad
*Mzee Kombo:* Jina lako zuri na ni jina la Mtume
*Kijana:* Ndio baba
*Mzee Kombo:* Katika Quran kuna sura inaitwa Muhammad; je unaijua?
*Kijana:* Ndio!
*Mzee Kombo:* Hebu nisomee
*Kijana:* Daah! mzee siijui
*Mzee Kombo:* Basi huwezi kumpata binti yng
*Mzee kombo:* Enhee, na wewe unaitwa nani?
*Kijana 2:* Naitwa Yusuf
*Mzee Kombo:* Alaa! Nawe pia una jina la mtume na katika Qur an ipo sura kwa jina lako; hebu isome kidogo
*Kijana 2:* Duuh! siijuwi, mzee.
*Mzee Kombo:* Basi nawe huwezi kumuowa binti yangu
Akamgeukia na yule kijana wa tatu na kumuuliza: enhe mwanangu, nawe unaitwa nani?
*Kijana:* Naitwa _Qulhuwallahu!_
![]()
Ndo apo sasa mkuu wanachagua utadhani sometimes wenyew wanasifa hizoIla yeye ajatoa CV zake