STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,075
- 17,237
Kwa wanawake na wanaume, wote msikie,
Kuna baadhi yenu mnatamani kuwa na relationship nzuri, lakini tatizo hata kissing tu ni shida. Mtafeli! Unakiss na mtu ana vurugu utadhani anapalilia migomba, haieleweki anafanya nini, hadi ukitoka hapo unapitia dukani kununua salimia ukajichue lips zote za moto, hoi, nyang'anyang'a.
Jamani naongopa? Hamna watu wa aina hii? Even kissing is a problem, ukipewa kulima lami si ndo utaleta maafa? Kwani kujifunza kissing nayo imekuwa ngumu kama mzaramo kuongea Spanish? Wengine mnakosa na mmekosa wachumba hivihivi kwa kudharau hili, Day 1 tu umepewa kideti unakiss unaruka ruka kama Mabehewa ya Tazara.
Mdada wa watu anaona mmmh! Hiki kimbembe, siku ya kukupa jibu Anakwambia,''sorry, I think I am rushing into this relationship, I need time to be alone'' kumbe umeharibu mwenyewe kaogopa tu kusema hujui kubusu maana akikwambia utampiga makofi na wengine mtaanza kutukana bure lakini habari ndo hiyo, utapigaje busu kama unapigana vita vya Maumau.