Kama una date na binti wa watu na hutaki kumuoa mwambie ukweli

Uduvi

JF-Expert Member
Sep 3, 2012
738
518
Kama una date binti wa umri wa kuanzia miaka 23 huna mpango wa kumuoa fanya jambo la kiungwana na kumuambia ukweli.

Sikuambii umuambie kua humtaki na hutaki kuoa bali muambie kua wewe si muoaji na unaona kua utampotezea muda wake bure na kuja kumuumiza.

Ongea kiungwana na ikishindikana muache hata kibabe. Hii ni kwasababu mwanamke anawekeza vitu vingi katika mahusiano, anawekeza akili yake, mali zake, hisia na kubwa kabisa anawekeza umri wake katika mahusiano.

Unampunguzia uwezekano wa kukutana na mtu sahihi kwa kuendelea kumdanganya. *Kwa Mwanamke,* ```"Age is not just a Number, Age is Everything".```

Wakati ukimuacha wewe utatafuta Binti mdogo zadi yake, yeye atalazimika kutafuta Kijana mwenye Umri Mkubwa zaidi yake. Ndiyo ilivyo sote Wanaume na Wanawake huangalia Umri katika Mahusiano.

Ukimchezea na kumuacha akiwa katika Umri wa Miaka 30, inamaana atafute kijana mwenye Umri kuanzia Miaka 32 ambaye bado ni Single.

Wako wachache sana wa namna hiyo, sisemi kua hawezi kupata, hapana.. Nasema utampa Wakati Mgumu na Uhuru wa Kuchagua.

Kuna Umri ambao Mabinti wengi huamua Kuolewa tu, si kwasababu ya Mapenzi bali kwakua hawana namna wanaona kusubiri Mtu Sahihi watapishana na Kalenda.

Badilika, haikufanyi Mwanaume zaidi kwa kumpotezea Binti wa watu Miaka Mitano halafu unamuambia ```"Wewe si Type yangu".``` Fanya jambo la Kiungwana na Malizaneni Mapema.

Lakini najua kuna Mabinti ambao hawasikii wakiambiwa kuwa mambo yameisha, Mlazimishe asikie na Usimtumie na Kumuumiza kwakua anakupenda..

Credit.social media
 
Kweli kabisa nimesoma huu Uzi kwa kuutafakari dhambi sana kuchezea hisia za MTU kwa makusudi
 
Kama una date na binti wa umri wa kuanzia miaka *23* kuendelea na hauna mpango wa kumuoa fanya jambo la *kiungwanana* kumuambia ukweli.
Sikuambii umwambie kuwa humtaki na hutaki kuoa bali mwambie kuwa wewe si muoaji na unaona kama utampotezea muda wake bure na kuja kumuumiza.

Ongea kiungwana na ikishindikana muache hata kibabe. Hii ni kwasababu mwanamke *anawekeza vitu vingi katika mahusiano, anawekeza akili yake, mali zake, hisia na kubwa kabisa anawekeza umri wake katika mahusiano*

Unampunguzia uwezekano wa kukutana na mtu sahihi kwa kuendelea kumdanganya. *Kwa Mwanamke, Age is not just a Number Age is Everything*

Wakati ukimuacha wewe utatafuta Binti mdogo zadi yake, yeye atalazimika kutafuta Kijana mwenye Umri Mkubwa zaidi yake. Ndiyo ilivyo sote Wanaume na Wanawake huangalia *Umri* katika Mahusiano.

Ukimchezea na kumuacha akiwa katika Umri wa Miaka 30, inamaana atafute kijana mwenye Umri kuanzia Miaka 32 ambaye bado ni Single. Wako wachache sana wa namna hiyo, sisemi kuwa hawezi kupata, hapana Nasema utampa Wakati Mgumu na kumyima Uhuru wa Kuchagua.

Kuna Umri ambao Mabinti wengi huamua Kuolewa tu, si kwasababu ya Mapenzi bali kwa kuwa hawana namna wanaona kusubiri Mtu Sahihi watapishana na *Kalenda*

Badilika, haikufanyi Mwanaume zaidi kwa kumpotezea Binti wa watu Miaka Mitano halafu unamuambia *Wewe si Type yangu* Fanya jambo la Kiungwana na Malizaneni Mapema. Lakini najua kuna Mabinti ambao hawasikii wakiambiwa kuwa mambo yameisha, Mlazimishe asikie na Usimtumie na Kumuumiza kwa kuwa anakupenda.

Women have many possibilities from 12 to 24,but from 25 and above,the graph starts to fall down whether they like it or not,

Dear,Women ,men love by reasons #
C&P
 
Kama una date na binti wa umri wa kuanzia miaka *23* kuendelea na hauna mpango wa kumuoa fanya jambo la *kiungwanana* kumuambia ukweli.
Sikuambii umuambie kua humtaki na hutaki kuoa bali muambie kua wewe si muoaji na unaona kama utampotezea muda wake bure na kuja kumuumiza.
Ongea kiungwana na ikishindikana muache hata kibabe. Hii ni kwasababu mwanamke *anawekeza vitu vingi katika mahusiano, anawekeza akili yake, mali zake, hisia na kubwa kabisa anawekeza umri wake katika mahusiano*
Unampunguzia uwezekano wa kukutana na mtu sahihi kwa kuendelea kumdanganya. *Kwa Mwanamke, Age is not just a Number Age is Everything*
Wakati ukimuacha wewe utatafuta Binti mdogo zadi yake, yeye atalazimika kutafuta Kijana mwenye Umri Mkubwa zaidi yake. Ndiyo ilivyo sote Wanaume na Wanawake huangalia *Umri* katika Mahusiano.
Ukimchezea na kumuacha akiwa katika Umri wa Miaka 30, inamaana atafute kijana mwenye Umri kuanzia Miaka 32 ambaye bado ni Single.Wako wachache sana wa namna hiyo, sisemi kua hawezi kupata, hapana Nasema utampa Wakati Mgumu na Uhuru wa Kuchagua.
Kuna Umri ambao Mabinti wengi huamua Kuolewa tu, si kwasababu ya Mapenzi bali kwakua hawana namna wanaona kusubiri Mtu Sahihi watapishana na *Kalenda*
Badilika, haikufanyi Mwanaume zaidi kwa kumpotezea Binti wa watu Miaka Mitano halafu unamuambia *Wewe si Type yangu* Fanya jambo la Kiungwana na Malizaneni Mapema. Lakini najua kuna Mabinti ambao hawasikii wakiambiwa kuwa mambo yameisha, Mlazimishe asikie na Usimtumie na Kumuumiza kwakua anakupenda.
Women have many possibilities from 12 to 24,but from 25 and above,the graph starts to fall down whether they like it or not,
Dear,Women ,men love by reasons #
C&P
Hii ni
fit feet fit fine shoes

Sizonjemadawa
 
Ujumbe mzuri sana, Wahusika watasoma lakini kamwe hawatazingatia!
Wadada ukiona mwanaume haeleweki kimbia angali mapema tu
Hii dunia nayo ina mambo sana...unawezekana kuta mpaka anafika mda wa kuchoka anakimbia tuu yeye anakimbia tuu..

Wawe makini pia na wanapo wachagua

Alafu hapo wanaweza deal na msemo huu "ulipo shika shikilia haswaa"

Changamoto ni nyingi UVUMILIVU muhimu
 
Niliusiwa na wazazi nimpite miaka mwanamke, kuna katoto sasa hivi ndiyo kapo kidato cha kwanza nimepanga ndiyo nitakaoa.

Juzi juzi hapa namuuliza mipango ya maisha anasema anataka asome hadi chuo kikuu, nikamuuliza kama mumeo kafika chuo si atakuoa halafu utaendelea kusoma akasema haiwezekani mpaka na yeye afike chuo.

Nimeamua kumfungukia akifika likizo ya kidato cha tano kwenda cha sita (ana akili sana nina imani atafika huko) hiyo itakua 2021. Nimeamua kutokua na mpenzi wala kuyafanya ili nimtunzie mke wangu mtarajiwa.
 
Mku wake up..

Mpk 2021na utakuwa unasubili bila kuwa na mpenz??

Kusubilia sio hoja sana ila kwamba huto kuwa na mpenz mwingine kabisa ndio nashangaa

Je akifika chuo na kupata mwingine uta handle vip hayo maumivu na hasira??
 
Niliusiwa na wazazi nimpite miaka mwanamke, kuna katoto sasa hivi ndiyo kapo kidato cha kwanza nimepanga ndiyo nitakaoa.

Juzi juzi hapa namuuliza mipango ya maisha anasema anataka asome hadi chuo kikuu, nikamuuliza kama mumeo kafika chuo si atakuoa halafu utaendelea kusoma akasema haiwezekani mpaka na yeye afike chuo.

Nimeamua kumfungukia akifika likizo ya kidato cha tano kwenda cha sita (ana akili sana nina imani atafika huko) hiyo itakua 2021. Nimeamua kutokua na mpenzi wala kuyafanya ili nimtunzie mke wangu mtarajiwa.
Pole mzee nakukuhakikishia huyo humpati tena ... Watu wanaendelea kujipigia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom