Kwanini Wanawake wengi huvutiwa Na wanaume wenye Vifua vikubwa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini Wanawake wengi huvutiwa Na wanaume wenye Vifua vikubwa...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by zubedayo_mchuzi, Aug 18, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Wanawake watanipa jibu..kwanini huwa mnavutiwa na wanaume wenye vifua vikubwa,Misuli misuli.
  Je hao ndo wako fiti kila idara au ni mtazamo wenu kwa mahitaji yenu.
   
 2. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,277
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Kwa sababu tunapenda kudeka...unapata pa kuegeshea kichwa; but kama pia ni mrefu. Lol
   
 3. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Umeongea kwa hisia kabisa...
   
 4. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Bado cjawaona walengwa wa jukwaa hili

  Nina imani watakuja na majibu mazuri!
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,876
  Likes Received: 23,503
  Trophy Points: 280
  Mi mai waif wangu ananipendea mtambi wangu.
   
 6. Arabela

  Arabela JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 3,253
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  They look good, u feel uko sehemu salama.
   
 7. l

  lila Member

  #7
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  una uhakika?kifua cha hela ama
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  kwa Africa wanaume wenye vitambi ndo wanapendwa coz wanawake wengi ukiwa na ndambi wanadhani unazo, hayo ya vifua yameanza juzi tu baada ya tv kuingia bongo na watoto wa shule kuanza kushobokea series na kuiga kila kitu
   
 9. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2012
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Humu jf mna mambo mengi!
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  Misuli misuli isizidi, iwe ya wastani raha akikukumbatia, ujilaze kifuani kwake n.k ila misuli ikizidi (mfano mabausa), anakua na mimisuli mikubwa huku dushelele inasinyaa na kuwa kibamia, nani anataka.....
   
 11. i

  issabela Senior Member

  #11
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wenye vifua vikubwa warefu thn wenye miili yao akikukumbatia unajiskia raha kama mtoto vle
   
 12. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  wakali wa haya mambo watakuja, naona wapo bize kwenye xclusive interview na mexence melo!
   
 13. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  we babu Aspirin wewe! Umeuexagerate mtambi wako hvo ndo nini? Mtambi! Mechekaje!
   
 14. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wanavutia hasa wakiwa supa tall kwa kweli! Ukideka deka huku amekuegemeza kifuani kwake aaa siku inaenda! Wapi Mtotosix?
   
 15. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Watakuja,ngoja tuwa wait
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  umefinish kila kitu.....
   
 17. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,377
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Mimi sina kifua wala mamisuli ila mzigo jikoni upo mbona wadada wana ni feel tu???
   
 18. Mandingo

  Mandingo JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 3,377
  Likes Received: 316
  Trophy Points: 180
  Mimi sina kifua wala mamisuli ila mzigo jikoni upo mbona wadada wana ni feel tu???
   
 19. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #19
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Akiwa na kifua hakuna haja ya pillow(mto)
   
 20. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  hi Malia....am Sasha.....
   
Loading...