Manstone
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 515
- 315
Sasa yapita miaka miwili toka tuachane kimapenzi na x~girls wangu, na kubahatika kuoa mtoto mzuri wa kimakonde tofauti na hao nilikua nadate nao kila kukicha,
cha kushangazaa zaidi miezi miwili x~girls wangu watatu wamenipigia cm na kuniambia wamemis penzi langu, na hapa nahofia zaidi mama watoto wangu akijua itakuwa timbwili hili, japokuwa hao ma x~girl wangu wanafahamu nina mke na mtoto wa mwaka sasa,
je hawa max~girl niwafanyaje wasiendelee na hii tabia yao?