Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,672
- 6,872
Salamu,
Natumaini hamjambo,
Nlikutana mara 1 tu na huyu bibie bila kutambua ni mke wa mtu,
Baada ya kutambua hilo kuwa ni mke wa pili wa jamaa, (kwa ndoa ya kiislamu
Nlikaa pembeni ingawa nlikuwa nimechelew,
Mimba ilikuwa tyr, ingawa mwanzon alinijuza khs mabadiliko ambayo hakuw na uhakika km ni mm au mmewe,
Siku zilienda tukiwa hatuna mawasiliano,
Alipojifungua alinijuza nikampongeza kwa kumtumia zawadi ( hela) hatukwendelea kuwasiliana,
Baadae mtt ana miezi 5, kaja kunambia mtt anamsumbua sana kwa kulia usiku kucha,
Wamehangaika sana bila mafanikio,
Hivyo akaniomba jina maake alinambia anahisi mimi ndio baba wa mtoto,
Nikampaa jina, na tangia hapo keshatulia,
Yaan ni amani tele,
Pia nlienda kumuona mtt na kutoa zawadi,
Yaan ni mm mwenyewe.
Hata picha za mtoto, jamaa zangu
Walishangaa kutowaambia khs kupata mtoto.
Naomba mnisaidie kama nna haki ya kumpata huyo mtoto na ninaweza kufanyaje?
Ahsante kwa ushirikiano.