Abdallah M. Nassor
JF-Expert Member
- Mar 20, 2008
- 600
- 620
Nimeingia Dar es salaam kama miezi sita sasa nikitokea mikoani ambako nilitoka baada ya kuachana na mke wangu.
Kutokana na hali ya jiji watu kutoaminiana nimekuwa muoga kutongoza mademu ninaokutana nao kwenye daladala au mtaani kuhofia kuonekana tapeli au kibaka pamoja na ugumu wa mtu 'stranger' kuomba namba na kupewa.
Sehemu pekee ya kupata demu 'live' ni bar pekee jambo linaloniwia ugumu kwenda kuzengea kwani mademu wale sio wa kutulia nao.
Hivyo basi nimeona nimtafute humu katika jamvi hili kwani kuna uwezekano mkubwa wa kumpata 'soulmate' wangu ambaye nae anahitaji mtu wa kutulia nae na kuanza maisha mapya ya baba na mama. Sina vigezo zaidi ya mwanamke anayejitambua na mwenye upendo wa dhati.
Karibuni wadadaz waremboz tuyajenge.