Ananimiss sana nikiwa nae mbali

Ananimiss sana nikiwa nae mbali

pakapori

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2015
Posts
536
Reaction score
632
Habari za leo, nina mahusiano wa kimapenzi na msichana mmoja hivi ila cha ajabu hua ananimiss tukiwa mbali tukikutana visa hua haviishi ilimradi tu kanibore, kufanya nae mapenzi ni mpaka awe amekwaza siku nzima ndo atataka kufanya mapenzi na mimi tukiwa katika hali ya amani hua hataki kabisa nimguse. Kiukweli nashindwa kumuelewa anamaana gani, naombeni ushauri tafadhali...,
 
Dah kazi ipo. Embu jaribu kuongea nae.. muelezee kwamba hiyo hali upendezwi nayo. kama haelekea basi piga chini.. maana kwa hali hii ya maisha.. alafu mtu anakuletea stress namna hiyo.. si maisha yanakuwa magumu
 
Habari za leo, nina mahusiano wa kimapenzi na msichana mmoja hivi ila cha ajabu hua ananimiss tukiwa mbali tukikutana visa hua haviishi ilimradi tu kanibore, kufanya nae mapenzi ni mpaka awe amekwaza siku nzima ndo atataka kufanya mapenzi na mimi tukiwa katika hali ya amani hua hataki kabisa nimguse. Kiukweli nashindwa kumuelewa anamaana gani, naombeni ushauri tafadhali...,
Wewe hujamsoma na kumwelewa

Hawa huwa wanataka mapenzi ya harazment usipomhalas huwezi kabisa

Kwani hajawahi hata kukufinya au kukutwanga kofi wewe.?

Usifanye mapenzi ya uungwana sana naye mfanyie halasment uone

Inaonekana ni mwaminifu
 
Nunua kitanda cha pili, mwachie hicho awe analala mwenyewe. Kuwa busy na jf all night kila siku. Atakufata mwenyew, akiomba mchezo mwambie sorry niko busy na washikaji tunajenga nchi.
JF is every you need in the world. After three months leta feedback.
 
Kummis mtu maana yake nin? Pengine tunakuwa na misconception na hii term Missing
 
Huyo msichana hakupendi na ana mtu wake ambaye anaonekana ni 'pasua kichwa' hivyo wewe ni spare tyre tu, inaonekana asipokuwa na maelewano mazuri na jamaa yake anakuja kwako kupunguza hasira na kupata faraja
 
Wewe hujamsoma na kumwelewa

Hawa huwa wanataka mapenzi ya harazment usipomhalas huwezi kabisa

Kwani hajawahi hata kukufinya au kukutwanga kofi wewe.?

Usifanye mapenzi ya uungwana sana naye mfanyie halasment uone

Inaonekana ni mwaminifu
Daaah hii true asee anapenda fujo kila wakati ukimmbembeleza ni kama unampigia mbuzi gitaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nunua kjtanda pili, mwachie hicho awe analala mwenyewe. Kuwa busy na jf all night kila siku. Atakufata mwenyew, akiomba mchezo mwambie sorry niko busy na washikaji tunajenga nchi.
JF is every you need in the world. After three months leta feedback.
Nimeipenda hii ila c unajua mwanamke anaweza kukaa zaid ya miezi 6 bila kusex na akaona sawa tu ila kwa mwanaume inakua ngumu tena hasa pale unapopewa bila kuridhishwa
 
Kummis mtu maana yake nin? Pengine tunakuwa na misconception na hii term Missing
Hii inamaanisha kukosa kile ulichokizoea kwa wakati fulani na unatamani kama ungekipata kwa muda huo. Naic niko sahihi
 
Back
Top Bottom