muzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 1,039
- 1,453
Hi wapendwa,
Hebu tusaidiane nini inasababisha mtoto kuzaliwa aalfu hafanani na mama wala baba. Je hii ni kitu cha kawaida kwa mtoto wa kwanza na wa pili wote hawafanani na wazazi wao?
Nini hasa chanzo kwa hili kutokea? Kutofanana ni kwenye upande wa sura tu, lakini kwa upande mwingine kwenye morphological appearance hakuna shida, yaaani watoto wametokea kufanana na baba kwa upande wa urefu na uwembamba, hapo hakuna shida kabisa lakini kwenye sura neither mother nor father alignment exhibit.
Ukijaribu kumuuliza wife anasema hajawahi ku-cheat kabisa na yupo radhi kwenda kwenye vipimo vya DNA test popote pale duniani. I this common scenario?
Please advice accordingly