Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,522
Nashangaa na Sielewi maana wengi wetu hatutaki kuumizwa ila je Sisi hatumizi watu wengine?
Au mkuki kwa nguruwe?
Wengi Ambao hatutaki kuumizwa na tunalalamika tukiumizwa ila ndo mabingwa wa kuumiza wengine...
Hivi hapa tunasalimika vipi na kutokuumizwa wakat sisi ndo waumizaji wakubwa wa watu wengine?
jaman mungu ni wa wawote msisahau hilo
Na mungu ndo Refa pekee asiyependelea ...