STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,264
Kabla hujamuamini Mwanaume kwa maneno yake
matamu na ahadi nyingi kuliko Ilani ya CCM mwaka
2015 ilivyokuwa kabla ya Uchaguzi,
FANYA
MAMBO HAYA MAWILI:
1.Jiulize Ni Mara ya ngapi unaambiwa maneno
hayohayo matamu,na ukawa excited hivihivi na wanaishia tu kukuvua nonihino na kuondoka bila
kutekeleza walichoahidi
AU
kutekeleza kwa muda
mfupi tu wakiwa wanakulia timing uchanue
waweke muhuri halafu basi
2.Muulize hayo maneno matamu anayokwambia, ya
natoka moyoni au kwenye Ncha ya Zipu yake ya Suruali
Wanaume tuna Uongo Uleule, Maneno
yaleyale, Style Zilezile miaka 8000 lakini bado na
wewe unadanganywa kwa Style zilezile za minyoo
na unaishia kulia machozi kwa vitu vilevile.
Tumechoka kusikia Stori zilezile,
Danganywa kwa vitu vipya...Oh Aliniahidi kunioa kanipa Mimba
kaikataa....Nakuwamba na Vibao kabisa...Stori
kanipa Bibi yangu na wewe unaitumia???
WAKE UP
GIRLS....Usiwe na moyo wa Ajuza wakati una miaka
24