Jamani habari zenu,
Nimeleta hii thread maana am heart broken na nina maumivu pia. Najua ni mkosaji ila please do not attack me,i need comfort and advice from you people.
Nimekua nikitoka na huyu mume wa mtu japo hatuna muda mrefu,najua na nilijua ananitumia ila bado nilikubali,sio romantic,he does not care,wala hanihongi but still nlikubali.
I was this attached and nlkua nadevelop feelings kwake. Na wala sio kwamba i enjoyed sex from him walaaa. Its the first time mimi kufanya hivi,sasa i feel bad natamani nmtoe akilini na moyoni pia.
Najua hanipendi,ana maneno makali yet simchukii na wala sipati hasira ila tu naumia.
Hua nawaza pia what if kawaambia marafiki zake kua kapita na mimi,uso wangu nitauweka wapi.
Sitaki kuonekana muhuni,sinaga hiyo tabia na hii ndio first time kwangu najisikia vibaya sana.
Tupo katika mazingira ya kuonana mara kwa mara,inauma zaidi.
Yet naogopa kumwambia ukweli anaweza nipa maneno makali nikaumia zaidi badala ya kupata hasira.
Natamani tusijuane wala kuzoeana tena na wala tusikutane popote pale,natamani nisahau kama he ever existed.
Am sorry kwa code mixing,nahitaji msaada wenu please.