Baada ya kukumbwa na upepo wa kutumbuliwa kibarua changu, hali yangu kiuchumi imeyumba mno kwani kwasasa mambo yangu mengi hayaendi, wale waliokuwa wananitegemea ikiwemo mama mkwe wangu siwatumii...
Ndugu zangu wapendwa habari, let me go straight to the point, naomba mnishauri hapa mimi ni mwanaume, nina wapenzi wawili wote niko nao kwa muda mrefu ila mmoja ambaye simpendi sana huwa...
Habari wana JF,
Leo nimefikiria jambo moja kuhusu wanawake wengi wao wanakuwa na visababu sababu vingi na vingine hata havina mantiki pale wanapotongozwa huwa hawawezi kuweka wazi jibu la sitaki...
Last week nimezinguana na mchepuko wangu. Ilikuwa siku moja kabla sijasafiri kikazi mkoa mmoja unaosifika kwa baridi sana hapa nchini.
Alhamisi nikaamua kwenda kwenye duka la kampuni ya mtandao...
Habari zenu wana wa MMU!!! Kwa heshima kubwa, naombeni msaada wa mawazo.
Mimi ni mume wa mtu. Ila kabla sijaoa nilikuwa na mpenzi ambaye nilidumu nae kwa takribani miaka 4, lakini bahati haikuwa...
Wapo wasichana ambao hawana uwezo wa kuzaa kwa sababu tofauti tofauti. Wanaume wengi pia hupenda kuoa mwanamke anaeweza kuzaa kwasababu ya kuwa na familia yaani watoto. Kwangu imekuwa tofauti...
Nimejikuta nikiziangalia mara kadhaa kwa bahati mbaya kinachoniuzi zaidi na kufanya nizichukie ni
1. Nyingi zake wanawake huliwa tigo. Ata wakianza vizuri lazima wamalizie na tigo. Sijui hili...
Nimefanya utafiti (sina data kwa sasa) mama na dada zetu wanaongoza kwa kuumiza watu hasa kimahusiano kuliko wanaume.
Wanaume wameendelea kuumia bila kupiga kelele kinyume na wanawake wao...
JIKUBALI
Kama unaamini kuwa matatizo umeumbiwa wewe kama mwanadamu, basi kwa yote yaliyokupata ya kuumiza moyo wako.
Jifunze kuukubali ukweli, jikubali mwenyewe kuwa unaweza pamoja na...
Kuna msichana mmoja nilimtongoza na kunikubalia akawa mpenzi wangu ila ikaja kutokea siku akaniambia kwamba hanipendi alikuwa aki ni enjoy tu, mwanaume nilikaza lakini wapi msichana kata kata na...
Naungana mkono serikali kupinga ndoa za utotoni. Kuna binti wa miaka 16 ametaka kuolewa Tanga, sasa najiuliza hapa anaweza kutimiza majukumu yake ndan ya ndoa kama mke?
Hapa nimejibiwa siwez...
wakuu habari za muda huu..
ni miaka takribani minne tokea niumizwe na mapenzi,baada ya kuumizwa nilikua ni mtu ambaye siyapi thamani mapenzi maana nilikua natafuna na kusepa,kwa hii miaka minne...
Jamaa yangu mmoja alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni moja ya vinywaji baridi sehemu maarufu kama empties (yaani wapakua chupa au creti ambazo zimeisha vinywaji. Kitendo hiki ni moja ya vitengo...
Habari wadau.
Hili swala najua tupo wengi lakini huwa siri yetu au na watu wetu wa karibu na si kwasababu tupo wengi ndio namaanisha nipo sahihi, hapana! Nataka kuwashirikisha na kupata maoni na...
Love is not about how many days, months, or years you’ve been together. Love is about how much you love each other every day. "
valentine died for love, Romeo also died for love, jack in titanic...
Habari,
Wanaume wamekuwa wakitumia nafasi ya kuwachezea wanawake kwa kigezo cha kutaka kuwaoa. Na kwa vile mwanamke ukiangalia umri wa kuwa na mume wa ndoa umefika au umepita.
Unajikuta...
Umevaa suruali imekubana na kuyachora maungo yako yote, halafu imechanwa chanwa mapajani kwa mbele, maungo yako yanaonekana na kila mtu.
Unakutana na rafiki yako anakuuliza kama umeolewa nawe...
Habari zenu wake kwa waume humu ndani...
Katika mambo ambayo huwa yananiumiza kichwa ni hili la kutafuta marafiki au wachumba kupitia mitandao.
Sijajua hasa je ni kwa sababu ya uwepo wa mitandao...