eskobas2016
Member
- Jul 14, 2016
- 71
- 31
Ndugu zangu wapendwa habari, let me go straight to the point, naomba mnishauri hapa mimi ni mwanaume, nina wapenzi wawili wote niko nao kwa muda mrefu ila mmoja ambaye simpendi sana huwa tunashirikiana sana kibiashara ila mwingine ambaye nampenda yuko mkoa mwingine na ndiye ninayetaka kuoana nae ila tatizo ni kwamba huyu aliye hapa na tunaefanya nae biashara pamoja, nitamwambiaje ili niachane nae kwa heri siyo kwa shari. naomba ushauri wenu wa kujenga na si kubomoa. Hasanteni