Erasto G
Member
- Mar 18, 2017
- 55
- 41
Wapo wasichana ambao hawana uwezo wa kuzaa kwa sababu tofauti tofauti. Wanaume wengi pia hupenda kuoa mwanamke anaeweza kuzaa kwasababu ya kuwa na familia yaani watoto. Kwangu imekuwa tofauti kidogo, yaan nataman nioe mwanamke asiyezaa lkn tatizo sijui ntampataje, maana inakuwa vigumu kumuuliza msichana kama hana uwezo wa kuzaa!