Last week nimezinguana na mchepuko wangu. Ilikuwa siku moja kabla sijasafiri kikazi mkoa mmoja unaosifika kwa baridi sana hapa nchini.
Alhamisi nikaamua kwenda kwenye duka la kampuni ya mtandao mmoja maarufu hapa mkoani kufunga namba yangu ya simu ambayo nilikuwa nawasiliana na huo mchepuko ma ku register namba nyingine. Nikamkita dada mmoja mzuri sana...kaumbika vizuri na ana sura nzuri balaa. Nikafanya naye utani wa hapa na pale, akanipa namba yake ya simu. Namba yangu mpya ilipokuwa hewani nikampigia kumshukuru na kumwambia niko hewani sasa.
Tukaendelea kuwasiliana naye, nikiwa na maumivu ya kuachana na mchepuko, nikamwalika aje anitembelee hotel niliyofikia. Bila ajizi leo saa 3 asubuhi akatia timu.
Tukaenda zetu kupiga supu ya nguvu, baada ya hapo tukarudi hotelini na kuanza kupiga ulabu na story za hapa na pale.
Kufika saa 7 dada alikuwa na castle lite ya 7. Hadi nikashtuka. Kila nikimwambia to do anasema ngoja kwanza nipate stimu. Mimi nilikuwa nimepiga kili 4
Kama saa 8 hivi tu ka do, game ilikuwa nzuri tu...baada ya game nikapitiwa na usingizi. Mwenzangu naye akawa kama amepitiwa na usingizi.
Kumbe baada ya kuona nimelala, dada kaamka, kachukua hela zangu mfukoni laki 7 na kidogo halafu kavaa anataka kuondoka, mimi nikashtuka. Nikamwambia baby mbona umevaa, akasema kuna mahali anawahi. Nikamwambia mbona hujaniambia? Akasema sikutaka kukukatisha usingizi kwa sababu naenda mara moja halafu nitarudi.
Nikamwambia basi subiri tule kwanza, akasema hapana hajisikii njaa ngoja aondoke tu mara moja halafu arudi.
Basi nikamwambia kama wewe usikii njaa basi niagizie mimi chakula kabisa labla hujaondoka. Nikamwambia apige simu muhudumu akaja. Nazama mfukoni nitoe hela nakuta empty.
Namuuliza mbona hela zangu sizioni kimya. Akawa na wasi wasi...nakaa chini kutafakari akatoa burungutu kwenye pochi lake...akaanza kulia samahani baby. Nisamehe. Dah nikaishiwa pozi nikahesabu hela zimetimia. Nikamwambia sawa ondoka.
Jamani wanaume tuwe makini.