Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wadau, Nina swali kidogo, Hivi inakuwaje msichana unaenda kujinunulia engagement ring, tena unaitest kabisa ndio unampa boyfrend akuvalishe? Hata kama bwana ndie anagharamia mi nahisi...
1 Reactions
99 Replies
7K Views
Mambo JF, Ebana kuna kesi nimeletewa hapa niitolee maamuzi lakini nimeshindwa nianzie wapi, Issue iko hivi, kuna jamaa angu jana kaenda club na Manzi wake, sasa katika ile kuruka Debe jamaa...
3 Reactions
92 Replies
10K Views
Habarini Wadau, Kwanza naomba sana Tuwaheshimu Wanawake "Wanaojiheshimu" kwakuwa ndio mama zetu. Tupunguze lawama nyingi juu yao. Nitaeleza sababu nizijuazo zinazopelekea kuwepo kwa Single...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Kuna mengi hatujui kuhusu marafiki zetu. Kuna watu wameumizwa na marafiki zao kwa sababu hawakuwa na macho ya rohoni kuweza kuwatazama. Kama wewe ni mmoja kati ya wale ambao marafiki wamekuwa...
7 Reactions
24 Replies
14K Views
Huyu jamaa huwa tunaenda kuchuliwa kila weekend siku za jumapili kwenye Barber shop flani hivi, kama mnvyojua ukishakua mteja unajichagulia na mtu spesho kukuhudumia sio kila siku unabonyezwa...
6 Reactions
56 Replies
10K Views
wakuu Baada ya kushindwa kuvumilia vitimbwi vya huyu mwanamke niliyedumu nae tangu mwaka huu uanze, kwa sasa nimeamua kumpiga chini "kumuacha" kwani kila lenye mwanzo lina mwisho wake...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Kuanzia jana nimeamua kuwa na mpenzi mmoja na kuacha kuruka ruka kama ndege asiejua atapata wapi nafaka ya kula. Baada ya kumpata mwanamke anaeonesha mapenzi dhahiri kwangu kwa muda wa miaka...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wana jf,niliwahi kuwa na gf kwa miaka 3 muda wote huu tulikuwa tuna date tu na hatukufanya ngono,lakini aliniacha bila maelezo, wa pili nae sikutaka kumpa moyo wangu wote kwanza lakini wakati...
7 Reactions
163 Replies
23K Views
Habari wakuu, Kuna kitu kimenishangaza, kuna jitu tuliachana nalo, nimesikia limepata mtoto na limemwita jina sawa na la kwangu. Hivi ni halali kweli hata kama sina hati miliki ya hilo jina?
1 Reactions
98 Replies
9K Views
Wakuu, Kutokana na kuumizwa sana na watoto wa kike basi nimeamua kutokuoa kabisa na badala yake nimeamua kuzalisha wanawake watatu tofauti watakaokuja kuwa wazazi wenzangu. Asanteni
2 Reactions
83 Replies
7K Views
Wakuu! Mwanamke aeleweki adhima yake, Rejea kichwa cha habari hapo juu Walipenda baadae wakatengana lakini cha kustaajabisha baada ya kutengana mwanamke analeta ubabaishaji wa akili kwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Niko kwenye mahusiano ambayo kiukweli siyafurahii hata kidogo, huyu kaka ananipenda ila kuna tabia zake za kuwasiliana na wanawake naamanisha akipigiwa simu namba huwa anafuta na mimi ni bonge la...
2 Reactions
274 Replies
24K Views
Friends are needed.As long as you can decide to have friends or not;friends are found ,and you can put criteria for your friends: Therefore I am asking for heterogeneous friends to share all...
2 Reactions
4 Replies
649 Views
Habari ya Jumamosi wapendwa, Leo nimekumbuka story ya shost, Shost huyu alikuwa mzuri na mrembo, alianza kujiingiza katika mambo ya ulimbwende akiwa kidato cha V, alipomaliza kidato cha sita...
21 Reactions
114 Replies
8K Views
Time heals all broken hearts and wounds..ni suala la muda tu maumivu yote ya mioyo na mwili yanapona na Mungu alituumbia kusahau so still ni suala la muda tu kabla mambo yote yakae sawa kwa mtu...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
  • Closed
Habarini Wadau, Sio siri ukidate na binti yeyote wa kichaga....hata kama hutamwomba picha yake, ni rahisi na mapema sana yeye mwenyewe kukuomba ya kwako kwa lengo la wewe kumwomba naye atume...
22 Reactions
583 Replies
107K Views
1. Mwanamke ni kama shule, kamwe hauwezi hitimu. 2. Mwanamke anahitaji matunzo na kujaliwa usipofanya hivyo unakaribisha wengine kufanya hayo. 3. Cheti chako cha ndoa yako na yeye sio "leseni ya...
5 Reactions
26 Replies
6K Views
wakubwa,heri ya jumapili? kuna binti kanistaajabisha sana, huyu binti Nina uhusiano naye wa kama miezi minne hivi, sasa juzi alikuwa anasafiri kuelekea kituo Chake cha kazi Bahati mbaya gari...
9 Reactions
116 Replies
8K Views
Naomba kufaham kwanini baadhi ya wadada hawapend kabisa masuala ya romance. Wao hutaka kusex tu na ukianza hiyo michezo wanakuwa hawapendi kivile. Naomba kupata uzoefu kama na wenzangu mliwahi...
2 Reactions
139 Replies
28K Views
Nimeoa januari 2013 ndoa ya kanisani na tulipima ila nadhani mke wangu alifahamiana na madokta,mwezi uliopita nimegundua anatumia ARV toka april 2013. Nimepima mara nyingi sina virusi hata leo...
5 Reactions
231 Replies
35K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…