Mbuzi kala mkeka,Ila jamani kiukweli sijui tunaenda wapi? Siamini kama ndiyo tumeshafukuzwa.
Ninja hali ni mbaya.Mbuzi kala mkeka,
TEH TEH ASMA RAJABUWakuu chondechonde usije ukamwachisha kazi mke wako ona sasa mke wa jamaa anaenda kufumulia kiulainiii uko tangaView attachment 503789
Ila jamani kiukweli sijui tunaenda wapi? Siamini kama ndiyo tumeshafukuzwa.
Asante mkuuPole Mkuu
Asante mkuu
Vyama vyetu vya wafanyakazi siviamini kama nini?Mkuu kaza tu mpaka watupeleke mahakamani TUCTA wamesema tukaze mzee mwepesi tutatoboa walau kwa kiinua mgongoView attachment 503792
Huyu jamaa haiwezekani sisi tuondoke yeye abakie tena bora wengine tulimaliza form 4.Hahahahaha lol! Kama Bashite wa Kolomije lol!
Haha.Basi acha tufaidi bima maana sina mpango wa kurudisha moja ipo bisisi kwa bimkubwa nyingine kantalamba ili shirika la bima kama halijarisika sijui
Huyu jamaa haiwezekani sisi tuondoke yeye abakie tena bora wengine tulimaliza form 4.
Mkuu ngoja tuone kama vyama vyetu vitaweza kusikilizwa mahakamani tupone.Pamoja na kulindwa kama mboni ya jicho sioni future yake huyu.