Wanawake wa Dar mnapenda sana hela

Nelson nely

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
4,251
2,867
Labda ndio maana wengi wenu hamuolewi.Yaani wengi wenu mkiona mwanaume anahesabu pesa vimacho vyenu vinakuwa juujuu kama mdoli!hatukatai wote tunapenda pesa ila nyie mmezidi hadi kero.....sijui mliona nini humo...hamtaolewa ng'o,jifunzeni kwa wenzenu wa mikoani.
 
ngoja nianze kufanya uchanganuzi wa mambo okey bf unanitongoza nipo dar oke
  • -maji ya kunawa pesa
  • maji ya kunywa pesa
  • maji ya kuoga pesa
  • nikiwa nje ya home kujisaidia pesa
  • kulala ndani nahitaji pesa
  • kutoka sehemu moja hadi nyingine pesa
  • kula kuanzia mboga za majani mpaka nyama pesa
  • kupiga simu pesa
  • umeme pesa
  • kupaki gari pesa
  • kutupa taka pesa
  • kuangalia tv pesa .
sasa mnataka tuone nini kwenu zaidi ya pesa? embu muwage genuine tu kuto tuoa ni woga wenu tu hamna lolote.. hao wa mikoani wenyewe wanaangalia pesa sema tu wanawazuga
 
hapa kwenyewe kuandika hii commet.. pesa!
 
Sasa nyie zakwenu mnapeleka wapi au nikukosa kazi ndo kunawafanya muwe hivyo
 
Back
Top Bottom